Figisu figisu Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Mimi sio CCM ila nathubutu kusema hoja yako ni dhaifu sana.Utaratibu wa kumpata mwenyekiti unaeleweka vyema kwamba atakayekuwa rais wa nchi kupitia chama hicho ndiye atakayekabidhiwa uenyekiti wa chama pia.Vyama vya upinzani ni tofauti kidogo,mwenyekiti huchaguliwa na wanachama.Tatizo linakuja kwa viongozi waliopo madarakani kutokuwa kuwapisha wengine waongoze,hawana tofauti na viongozi wa nchi za kiafrika ambao hupenda kung'ang'ania madaraka.
Kama tunavyo shuhudia zenji
 
Mkuu si kweli katiba ya CCM haisemi Rais ndiyo mwenyekiti wa CCM Taifa. Je CCM isiposhinda urais mwenyekiti atapatikana vipi?
Wenyewe wakati wanapitisha hiyo katiba yao walijuwa kuwa ccm itatawala milele na kuwa viti vyoote vya ubunge ni mali yao
 
CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa.

Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.

Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli.

Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.

Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee!

Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Hahaha chadema bana unafurahisha Lowassa je ilikuwaje uchaguzi wa kunyoosha vidole juu kama mpo darasani haahahhahaha
 
ebo"kumbe kubaka demokrasia ni jadi yenu baada ya zenj mnarudiana wenyewe kwa wenyewe
 
wakati wa fomu sio mwaka huu tunatarajia JPm kukabidhiwa uenyekiti akimalizia kipindi kilichopaki ja JK.
kwa taarifa yako CCM sio chadema nimbie katibu mkuu wa chadema ni nani baada ya dr slaa kujiuzuru
Kuna chama cha wanachama ambacho ni ccm
Na kuna chama cha mwenyechama ambacho ni chadema inamwenyewe
 
katiba ya CCM haisemi popote kwamba mwenyekiti ndiye atakuwa rais wa nchi bali ni wanachama wenyewe huwa hawachukui form kumpa nafasi rais achukue nyenyewe kumuondoshea upinzani . Lakini hunyimwi kuchukua form ukashindane na Magufuli hapo mwakani
Na JK ameonesha nia ya kuachia madaraka mapema kwa kuwa yupo busy na kazi nje ya nchi so karibu katika kinyang'a nyiro ndugu
 
CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa.

Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.

Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli.

Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.

Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee!

Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?

Haaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaa, yani unavyomuogopa yule mzee utadhani nawe unajipu, zamu yako imefika, tulia dawa iingie, kama vipi hama chama. Natania tu ndugu yangu
 
Ni kwamba umesahau utaratibu wa CCM miaka yote ya nyuma au unataka tu kuwachanganya watu??? Baada ya Mzee Mwinyi kuachia urais wa JMT ndani ya miezi 6 alimkabidhi mzee Mkapa uenyekiti wa CCM kabla ya muda wake kufika. Pia Mzee Mkapa hivyo hivyo alimkabidhi Mzee Kikwete uenyekiti kabla ya miaka 5 ya katiba. Kumbukumbu zinaonyesha ni Nyerere tu ndiye aliyeendelea kuwa mwenyekiti baada ya kumaliza muda wa urais na tena akakubali kuchaguliwa miaka yake 5 ilipokwisha japokuwa hakumalizia muhula mzima alipochaguliwa mwenyekiti wakati huo akiwa sio rais. Sasa wanaosema Jk amkabidhi JPM uenyekiti hawaongelei kitu kipya hata chembe. Hata JK anafahamu hivyo na JPM pia.

CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa.

Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.

Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli.

Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.

Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee!

Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
 
CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa.

Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.

Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli.

Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.

Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee!

Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Ok endelea tu kujiuliza, siku JPM atakapokabidhiwa uenyekiti ndio utakapopata majibu
 
Lowassa alipataje nafasi ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA?

Kwanini Sultani Mbowe alinyofoa kipengele cha ukomo wa uenyekiti wa CHADEMA?
 
Aisee hapo umegusa penyewe sasa tunawakaribisha wale viwavi wanao kesha wanachonga midomo yao juunya vyama vingine kukosa demokrasia,njooni hapa nyie viwavi mkanushe haya

Lowassa alipataje nafasi ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA?

Sultani Mbowe huwa ana mpinzani wakati wa kugombea uenyekiti wa chama?
 
CCM ni chama kinachojinasibu kwamba ni chama cha kidemokrasia! Aidha katiba ya chama hicho inaainisha wazi kwamba kila mwanachama ana haki ya kugombea nafasi yoyote ile ikiwemo ya mwenyekiti wa chama Taifa.

Katiba inaeleza pia muda wa viongozi wa chama hicho kukaa madarakani ni miaka mitano kila baada ya uchaguzi.

Leo hii tunaona figisufigisu zimeanza za kutaka kumng'oa madarakani mwenyekiti Kikwete kabla ya muda wake kwisha kinyume na katiba.Tumesikia pia eti kuna mpango wa 'kumkabidhi' madaraka ya mwenyekiti wa Taifa Rais Magufuli.

Tulitarajia kusikia wanachama wakitangaziwa tarehe ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ili atakayeshinda ndiyo akiongoze chama hicho lakini huko kinachotaka kufanyika ni ukiukwaji mkubwa WA demokrasia na katiba ya chama hicho.

Haya yangefanyika kwenye vyama vingine vya siasa tungesikia kelele nyingi kutoka CCM na vyombo vyama vya propaganda ikiwemo ofisi ya msajili WA vyama vya siasa. Tuliona jinsi msajili alivyoingilia uchaguzi wa CHADEMA mpaka kufikia hatua ya kutaka kuwapangia nani agombee na nani asigombee!

Tunamtaka msajili aingilie kati ukiukwaji huu WA demokrasia na katiba ya chama hicho unaofanywa na CCM. Najiuliza kama wanasigina katiba ya chama chao wataweza kuilinda katiba ya nchi?
Sawa katiba ipo lakini pia kuna utamaduni umejengeka.
Mwinyi alifanya hivyo kwa Mkapa. Kikwete naye aliachiwa mapema na Mkapa. Tayari CCM wamejenga utamaduni huo.
La msingi, Kikwete aone umuhimu wa kufanya hivyo bila kushurutishwa. Hapo katiba itakuwa haijavunjwa.
 
Ungesema utaratibu wa lowasa kugombea urais chadema ni kwa katiba IPI?
 
ndio kusema wanachakachua kura rais kwenye chaguzi kuu ili chama kisikose mwenyekiti!?
 
JK aliwaombea kw JPM mkumbukwe... Sasa fungukeni humu, na muombe Mungu JPM avutiwe kuzisoma hoja zenu humu.
Bila ya hivyo JK atasikitika sanaa vijana wake kusahauliwa...
 
Back
Top Bottom