Figisu figisu Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa

ccm_cartoon_by_afro_swahili.png

swissme
 
Diwani wa Chadema Mh.Ephata Nanyaro ametangaza kutoa zawadi ya 200,000 kwa mwana CCM yeyote aliwahi kupiga kura ya kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa tangu 1980.Mwana CCM uliyepo JF mtangazie na mwenzio mgonge hela kwa Muheshimiwa Diwani
wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm walishapiga kura ya kumchagua mwenyekiti wa ccm taifa, kweli nanyaro sio mwana ccm ndio maana haijui katiba ya ccm.
 
Twende taratibu:

Mwenyekiti wa CCM anapatika wakati wa mkutano mkuu wa chama unaompitisha mgombea nafasi ya urais. Kwa maneno mengine anayechagulia kwenye nafasi ya kugombea urais anakuwa 'mwenyekiti mtarajiwa wa chama'

Swali ambalo Nanyaro na wenzake wanatakiwa kujibu:
Ni kwanini CHADEMA wamekazana sana kupiga kelele za kukwamisha Magufuli asiwe mwenyekiti wa CCM? Wanaogopa nini?
Au huu ni mkakati wa 'mwekezaji' wao wa kutaka kudhoofisha CCM?
 
hebu weka sawa ule mkutano mkuu ulichagua mgombea urais au mwenyekit wa chama
 
Baada ya kumchangia aliyemtukana Rais sasa Mheshimiwa Ephata Nanyaro anatoa fedha kwa makada wa CCM! Hata hivyo, kila chama kina demokrasia yake. CCM wanachuja sana wakati wa kumpata mgombea Urais ndipo anapatikana mtu ambaye automatically anakuwa Mwenyekiti wao. Mfumo huu ni mzuri sana kwani unaondoa ukiritimba ndani ya chama tofauti na kwetu ambapo Mwenyekiti anaweza kubadili katiba muda wowote ili aendelee kubaki madarakani. Kikwete anatamani sana kuendelea na Uenyekiti ila desturi ya chama inamuondoa kinyemela.
 
Diwani wa Chadema Mh.Ephata Nanyaro ametangaza kutoa zawadi ya 200,000 kwa mwana CCM yeyote aliwahi kupiga kura ya kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa tangu 1980.Mwana CCM uliyepo JF mtangazie na mwenzio mgonge hela kwa Muheshimiwa Diwani
Cc:MOTOCHINI
Cc:lizaboni
 
wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm walishapiga kura ya kumchagua mwenyekiti wa ccm taifa, kweli nanyaro sio mwana ccm ndio maana haijui katiba ya ccm.
Huo huongo wako kawadanganye lumumba wenzio
 
Back
Top Bottom