Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,953
- 95,249
Kama tunavyo shuhudia zenjiMimi sio CCM ila nathubutu kusema hoja yako ni dhaifu sana.Utaratibu wa kumpata mwenyekiti unaeleweka vyema kwamba atakayekuwa rais wa nchi kupitia chama hicho ndiye atakayekabidhiwa uenyekiti wa chama pia.Vyama vya upinzani ni tofauti kidogo,mwenyekiti huchaguliwa na wanachama.Tatizo linakuja kwa viongozi waliopo madarakani kutokuwa kuwapisha wengine waongoze,hawana tofauti na viongozi wa nchi za kiafrika ambao hupenda kung'ang'ania madaraka.