Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Its fine kama mchezaji ni mzungu, ingekuwa wamemuonyesha ustaadh hapo ingekuwa kesi kubwa hiyo!Kitendo cha kumwonyesha mchezaji amevua kaptura mnakionaje?
Its fine kama mchezaji ni mzungu, ingekuwa wamemuonyesha ustaadh hapo ingekuwa kesi kubwa hiyo!Kitendo cha kumwonyesha mchezaji amevua kaptura mnakionaje?
Sema uko wapi hapa duniani, hizi web zinaonekana baadhi ya sehemu tu ie bbc.co.uk/sports kama uko UK.Jamani mbona hamtupi hiyo website? au ndo mnataka mtusimulie tu?
Nipo Sweden kaka
Tupeni matokeo.Yeaah! Mapharaoh leo wamefanya mambo!!
Tupeni matokeo.
mkubwa wazee wakujibu huko kwenye italy.utasema kila kitu kubebwa kunyanyuliwa na caf egypt wanakipiga msela.wana dive wakina ronaldo ndio itakuwa wa egypt.mchezo mchafu huko popote na unaweza kwenda vibaya au kwenda sawa na kama unakiputa ni unakiputa tu.game yao na brazil jamaa walifight sana na jamaa kuokoa mpira kwa mkono mtu yoyote angefanya kwa jinsi game ilivyoenda alafu itokee unauona mpira unaenda nyavuni hivi hivi.je kipa wao ange daka penati ungesemaje sasa?KOMBE LA MABARA 2009-CONFEDERATION CUP 2009
UJANJAUJANJA WA MISRI SAFARI HII WAKWAMA
Katika mchezo kati ya Misri na Brazil ambapo matokeo yalikuwa Brazil 4 vs Misri 3 ujanjaujanja wa wachezaji wa Misri ulikwama.Kwa miaka mingi wa-Misri wamekuwa wanakera wapenzi kwa visa vyao vya kujiangusha, kupoteza wakati wakijifanya wameumia hasa wakiwa wanaongoza kwa magoli.
Katika mchezo huu Al Muhamad alijiangusha na kujishika usoni akijidai ameumia vibaya kumbe kazuia mpira kwa mkono usiingie..baada ya ushauri wa refa aliyoko nje apewa kadi nyekundu.
Wamisri wamekuwa wakibebwa mara nyingi na CAF kwa vile makao makuu ya CAF yapo Cairo na waamuzi wengi wamekuwa wanaogopa vinginevyo hawatachaguliwa kuchezesha mechi za CAF hivyo kukosa mapato.
Misri sasa wanakata rufaa dhidi ya penati ya Brazil...kisa..kwa nini muamuzi alibadilisha mawazo baada ya kushauriwa na muamuzi wa akiba baada ya kuona video.
Nachotaka kuwaambia ndugu zetu wa Misri ni kwamba katika michezo mikubwa ya kidunia uwanjani kuna kamera chungu nzima kutoka kila upande..hilo wanalijua ...ujanjaujanja haukubaliki, ndio maana waamuzi wanavaa earphone na vifaa vingine vya hi-technology vinatumika hilo ndilo soka la leo...Nawashauri Egypt kama kweli wao ni bigwa wacheze mpira safi na sio kupoteza wakati na kuwanyima mashabiki raha..Mechi yao na Italy waonyeshe umahiri wao kimchezo ili kudhihirisha ni mabigwa wa Africa.
Swali kwa wapenzi wa mpira wa JF:Je sheria zinaruhusu muamuzi kubadili mawazo baada ya kupokea ushauri kutoka kwa mwamuzi wa nje?
Wow!
Egypt 1 - Italy 0
Dakika ya 40 kafunga Homos
mkubwa wazee wakujibu huko kwenye italy.utasema kila kitu kubebwa kunyanyuliwa na caf egypt wanakipiga msela.wana dive wakina ronaldo ndio itakuwa wa egypt.mchezo mchafu huko popote na unaweza kwenda vibaya au kwenda sawa na kama unakiputa ni unakiputa tu.game yao na brazil jamaa walifight sana na jamaa kuokoa mpira kwa mkono mtu yoyote angefanya kwa jinsi game ilivyoenda alafu itokee unauona mpira unaenda nyavuni hivi hivi.je kipa wao ange daka penati ungesemaje sasa?