FIFA Confederations Cup 2009

Hawa jama hata world cup wataonyesha uhai kwa Afrika kwa kweli. All the best African.
 
The Egyptian National Soccer Team has once again prooved to whole world that African Teams can realy play footbal by biting the Italian National one nill on a highly competitive game played today.BIGGUP EGYPT.Africa is once again on the map.
 
jamaa walipiga game kali sana.nadhani wana uwezo mkubwa sana wakupita.wanajituma sana wa egypt they deserve it.
 
KOMBE LA MABARA 2009-CONFEDERATION CUP 2009
UJANJAUJANJA WA MISRI SAFARI HII WAKWAMA

Katika mchezo kati ya Misri na Brazil ambapo matokeo yalikuwa Brazil 4 vs Misri 3 ujanjaujanja wa wachezaji wa Misri ulikwama.Kwa miaka mingi wa-Misri wamekuwa wanakera wapenzi kwa visa vyao vya kujiangusha, kupoteza wakati wakijifanya wameumia hasa wakiwa wanaongoza kwa magoli.
Katika mchezo huu Al Muhamad alijiangusha na kujishika usoni akijidai ameumia vibaya kumbe kazuia mpira kwa mkono usiingie..baada ya ushauri wa refa aliyoko nje apewa kadi nyekundu.

Wamisri wamekuwa wakibebwa mara nyingi na CAF kwa vile makao makuu ya CAF yapo Cairo na waamuzi wengi wamekuwa wanaogopa vinginevyo hawatachaguliwa kuchezesha mechi za CAF hivyo kukosa mapato.

Misri sasa wanakata rufaa dhidi ya penati ya Brazil...kisa..kwa nini muamuzi alibadilisha mawazo baada ya kushauriwa na muamuzi wa akiba baada ya kuona video.

Nachotaka kuwaambia ndugu zetu wa Misri ni kwamba katika michezo mikubwa ya kidunia uwanjani kuna kamera chungu nzima kutoka kila upande..hilo wanalijua ...ujanjaujanja haukubaliki, ndio maana waamuzi wanavaa earphone na vifaa vingine vya hi-technology vinatumika hilo ndilo soka la leo...Nawashauri Egypt kama kweli wao ni bigwa wacheze mpira safi na sio kupoteza wakati na kuwanyima mashabiki raha..Mechi yao na Italy waonyeshe umahiri wao kimchezo ili kudhihirisha ni mabigwa wa Africa.

Swali kwa wapenzi wa mpira wa JF:Je sheria zinaruhusu muamuzi kubadili mawazo baada ya kupokea ushauri kutoka kwa mwamuzi wa nje?
mkubwa wazee wakujibu huko kwenye italy.utasema kila kitu kubebwa kunyanyuliwa na caf egypt wanakipiga msela.wana dive wakina ronaldo ndio itakuwa wa egypt.mchezo mchafu huko popote na unaweza kwenda vibaya au kwenda sawa na kama unakiputa ni unakiputa tu.game yao na brazil jamaa walifight sana na jamaa kuokoa mpira kwa mkono mtu yoyote angefanya kwa jinsi game ilivyoenda alafu itokee unauona mpira unaenda nyavuni hivi hivi.je kipa wao ange daka penati ungesemaje sasa?
 
na kwa swali lako fifa wenyewe walikua wanafikiria kubadirisha matokeo yale kwa vile si refa wala mshika kibendera aliona sema ndio basi kwa vile maamuzi yashafanyika uwanjani ndio imepita.yale matokeo sio sawa ya kutoa penati kwa vile hakuna sheria ya kuuliza nje .fifa kila siku wanaambiwa video replays ziwekwe wanakataa haya ndio matokeo yake.anyway wa egypt wanakipiga msela hakuna kubebwa na caf wala nani.
 
Wow!

Egypt 1 - Italy 0

Dakika ya 40 kafunga Homos

Haha nilitabiri hii mechi.

Mnaodai kuwa Egypt inabebwa, ata kama wanabebwa na wao wanabebeka si unaona soka safi wanayotandaza. Ebanae North Korea kaingia kwenye World Cup heheheh!!!
 
Ameniudhi sana Gatuso kumkanyaga yule beki 3 wa Misri, sijui ndio Mousad!. Anaonekana ndiye mtengeneza mashambulizi, sikutegemea bingwa wa dunia kutumia mbinu chafu kutafuta ushindi kwa nchi ndogo toka Afrika. Tuombe Mungu kama hakuumia sana ili mechi ijayo acheze, ni mechi muhimu sana. HONGERA SANA MISRI!
 
mkubwa wazee wakujibu huko kwenye italy.utasema kila kitu kubebwa kunyanyuliwa na caf egypt wanakipiga msela.wana dive wakina ronaldo ndio itakuwa wa egypt.mchezo mchafu huko popote na unaweza kwenda vibaya au kwenda sawa na kama unakiputa ni unakiputa tu.game yao na brazil jamaa walifight sana na jamaa kuokoa mpira kwa mkono mtu yoyote angefanya kwa jinsi game ilivyoenda alafu itokee unauona mpira unaenda nyavuni hivi hivi.je kipa wao ange daka penati ungesemaje sasa?

The bottom line ni kuwa Egypt wanasifika kwa unsportsmanship behaviours, kila mtu anawalalamikia ..Ndo maana wanaishiaga kutamba humuhumu Africa tu kwenye makombe ya mbuzi, ujanja wao hau-apply kuvuka Meditteranian Sea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom