2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,718
45,125
Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024.

Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo.

Hii ni mara ya pili kwa Ivory Coast kuandaa mashindano hayo mara baada ya kuandaa kwa mara ya kwanza mwaka 1984.

Mpira rasmi wa mashindano ya mwaka huu unaitwa “Pokou” uliotengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya Puma.

Senegal ndio bingwa mtetezi wa taji hilo alilobeba mwaka 2021 katika mashindano yaliyofanyika pale Cameroon.

Miongoni mwa timu zinazopigiwa upatu wa kushinda michuano ya mwaka huu ni pamoja na Senegal, mwenyeji Ivory Coast, Mafarao wa Egypt na Morocco.

Zawadi ya mshindi kwa AFCON ni Dola Milioni 7.

Mshindi wa pili atapata Dola Milioni 4.

Timu zitakazoingia Nusu Fainali kila moja itapata Dola Milioni 2.5

Kwa kila timu itakayofika Robo Fainali itapata Dola Milioni 1.3

Orodha ya waamuzi waliochaguliwa kuchezesha michuano hiyo ya mwaka huu hakuna hata mmoja kutoka Tanzania.

Mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya mwenyeji Ivory Coast Vs Guinea-Bissau tarehe 13 January, Saa 5:00 Usiku kwa Saa za Afrika ya Mashariki.

Michuano hiyo inatarajiwa kuwa mubashara kupitia AzamTv na Canal Sports.

Uzi huu utakuletea updates zote za michuano hiyo kuanzia vikosi vilivyoitwa, ratiba za mechi, mikasa mbalimbali na mengineyo kwa muda wote wa mashindano.

Karibuni…

==================

Africa Cup of Nations 2023 fixtures​

Saturday 13 January​

Group A: Ivory Coast vs Guinea-Bissau, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (20:00)

Sunday 14 January​

Group A: Nigeria vs Equatorial Guinea, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (17:00)
Group B: Egypt vs Mozambique, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (20:00)
Group B: Ghana vs Cape Verde, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (23:00)

Monday 15 January​

Group C: Senegal vs The Gambia, Charles Konan Banny Stadium, Yamoussoukro (17:00)
Group C: Cameroon vs Guinea, Yamoussoukro (20:00)
Group D: Algeria vs Angola, Stade de la Paix, Bouake (23:00)

Tuesday 16 January​

Group D: Burkina Faso vs Mauritania, Bouake (17:00)
Group E: Tunisia vs Namibia, Amadou Gon Coulibaly Stadium, Korhogo (20:00)
Group E: Mali vs South Africa, Korhogo (23:00)

Wednesday 17 January​

Group F: Morocco vs Tanzania, Laurent Pokou Stadium, San Pedro (20:00)
Group F: DR Congo vs Zambia, San Pedro (23:00)

Thursday 18 January​

Group A: Equatorial Guinea vs Guinea-Bissau, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (17:00)
Group A: Ivory Coast vs Nigeria, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (20:00)
Group B: Egypt vs Ghana, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (23:00, live on BBC)

Friday 19 January​

Group B: Cape Verde vs Mozambique, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (17:00)
Group C: Senegal vs Cameroon, Yamoussoukro (20:00)
Group C: Guinea vs The Gambia, Yamoussoukro (23:00)

Saturday 20 January​

Group D: Algeria vs Burkina Faso, Bouake (17:00)
Group D: Mauritania vs Angola, Bouake (20:00)
Group E: Tunisia vs Mali, Korhogo (23:00)

Sunday 21 January​

Group E: South Africa vs Namibia, Korhogo (23:00)
Group F: Morocco vs DR Congo, San Pedro (17:00)
Group F: Zambia vs Tanzania, San Pedro (20:00)

Monday 22 January​

Group A: Equatorial Guinea vs Ivory Coast, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (20:00)
Group A: Guinea-Bissau vs Nigeria, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (20:00)
Group B: Cape Verde vs Egypt, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (23:00)
Group B: Mozambique vs Ghana, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (23:00)

Tuesday 23 January​

Group C: The Gambia vs Cameroon, Bouake (20:00)
Group C: Guinea vs Senegal, Yamoussoukro (20:00)
Group D: Angola vs Burkina Faso, Yamoussoukro (23:00)
Group D: Mauritania vs Algeria, Bouake (23:00)

Wednesday 24 January​

Group E: Namibia vs Mali, San Pedro (20:00)
Group E: South Africa vs Tunisia, Korhogo (20:00)
Group F: Tanzania vs DR Congo, Korhogo (23:00)
Group F: Zambia vs Morocco, San Pedro (23:00)

Africa Cup of Nations second round fixtures​

Saturday 27 January​

SR1: Group D Winner vs 3rd Place Group B/E/F, Bouake (20:00)
SR2: Group A Second Place vs Group C Second Place, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (23:00)

Sunday 28 January​

SR3: Group A Winner vs 3rd Place Group C/D/E, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (20:00)
SR4: Group B Second Place vs Group F Second Place, San Pedro (23:00)

Monday 29 January​

SR5: Group B Winner vs 3rd Place Group A/C/D, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (20:00)
SR6: Group C Winner vs 3rd Place Group A/B/F, Yamoussoukro (23:00)

Tuesday 30 January​

SR7: Group E Winner vs Group D Second Place, Korhogo (20:00)
SR8: Group F Winner vs Group E Second Place, San Pedro (23:00)

Quarter-finals​

Friday 2 February​

QF1: Winner SR2 vs Winner RS1, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (20:00)
QF2: Winner SR4 vs Winner SR3, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (23:00)

Saturday 3 February​

QF3: Winner SR7 vs Winner RS6, Bouake (20:00)
QF4: Winner SR5 vs Winner SR8, Yamoussoukro (23:00)

Semi-finals​

Wednesday 7 February​

SF1: Winner QF1 vs Winner QF4, Bouake (20:00)
SF2: Winner QF3 vs Winner QF2, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan (23:00)

Third place play-off​

Saturday 10 February​

SF1 vs SF2 losers, Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan (23:00)

Final​

Sunday 11 February​

SF1 vs SF2 winners, Alassane Ouattara Stadium, Abidjan
 
Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024.

Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo.

Hii ni mara ya pili kwa Ivory Coast kuandaa mashindano hayo mara baada ya kuandaa kwa mara ya kwanza mwaka 1984.

Mpira rasmi wa mashindano ya mwaka huu unaitwa “Pokou” uliotengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya Puma.

Senegal ndio bingwa mtetezi wa taji hilo alilobeba mwaka 2021 katika mashindano yaliyofanyika pale Cameroon.

Miongoni mwa timu zinazopigiwa upatu wa kushinda michuano ya mwaka huu ni pamoja na Senegal, mwenyeji Ivory Coast, Mafarao wa Egypt na Morocco.

Orodha ya waamuzi waliochaguliwa kuchezesha michuano hiyo ya mwaka huu hakuna hata mmoja kutoka Tanzania.

Mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya mwenyeji Ivory Coast Vs Guinea-Bissau tarehe 13 January, Saa 5:00 Usiku kwa Saa za Afrika ya Mashariki.

Michuano hiyo inatarajiwa kuwa mubashara kupitia AzamTv, DStv na Canal Sports.

Uzi huu utakuletea updates zote za michuano hiyo kuanzia vikosi vilivyoitwa, ratiba za mechi, mikasa mbalimbali na mengineyo kwa muda wote wa mashindano.

Karibuni…
Pa1 mkuu.
 
Back
Top Bottom