Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,462
- 4,364
SA wamecheza vizuri, wanastahili pongezi licha ya kufungwa. Wajipange upya kwa ajili ya 2nd runner.
Taifa stars tukifikia kiwango cha kucheza kwa pasi fupi zenye uhakika wa kumfikia mlengwa, ball control, kufungua vyumba na kutafuta nafasi za kufunga kama SA tutakuwa na uhakika wa kushinda makombe kadhaa.