Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,884
155,865
... ๐Ÿง  โ€บโ€บ ๐™๐™Š๐™ˆ ๐˜พ๐™๐™๐™• ๐™๐˜ผ๐˜พ๐™๐™Ž

Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.

01 โ—‰ Edson Arantes jina la utani, Pele ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi Duniani (1,281) including na magoli ya mechi za kirafiki.

02 โ—‰ Sergio Ramos anashikilia rekodi ya kuoneshwa kadi nyingi zaidi za njano (26) ndani ya mechi (38).

03 โ—‰ Kwenye top six EPL, Tottenham ndio klabu ambayo haijatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa muda mrefu zaidi. Wana miaka (59) bila kutwaa kombe la ligi kuu.

04 โ—‰ Lionel Messi ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท ndiye binadamu pekee aliyefunga magoli mengi zaidi (91) ndani ya calendar ya mwaka mmoja.

ยป Messi pia ndiye binadamu pekee aliyetwaa tuzo nyingi zaidi za Ballon D'Or (7).

ยป Rais wa Liberia ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท, George Weah anashikilia rekodi ya kuwa mwafrika pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon D'Or.

05 โ—‰ Robert Lewandowski ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi (5) katika mechi moja ndani ya dakika chache (9').

06 โ—‰ Jesse Lingard anashikilia rekodi ya forward aliyecheza mechi nyingi (25) bila kupiga shuti lolote golini.

07โ—‰ Eric Bailly ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ndiye mchezaji pekee UEFA Champions league aliyepiga shuti mpira ukatoka nje ya stadium katika karne ya (21) โ€บโ€บ Man United vs Valencia.

08 โ—‰ Klabu ya Liverpool ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ inashikilia rekodi ya Dunia ya kukusanya points nyingi (97) kwenye msimu mmoja wa ligi yenye timu (20) bila kutwaa Ubingwa wa ligi kuu (18/19).

09 โ—‰ Sadio Mane ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ anashikilia rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema zaidi (Dakika 2') akiwa Southampton ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

10 โ—‰ Real Madrid ni klabu pekee kwenye historia iliyotwaa Ubingwa wa UEFA champions league mara (3) mfululizo ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

11 โ—‰ Hary Kane amefunga magoli (155) bila kutwaa kombe lolote ๐Ÿค”

12 โ—‰ Aaron Svesve anashikilia rekodi ya kucheza dakika 90' bila kugusa mpira !!

13 โ—‰ Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ ambao ni mabingwa mara (7) wa Africa hawajawahi kushinda mechi yoyote kwenye kombe la Dunia !!

14 โ—‰ Suleyman Mamam wa timu ya taifa ya Togo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ alicheza soka dhidi ya Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ 2001 akiwa na umri wa miaka 13 na siku (310).

15 โ—‰ Golikipa Tom King kutoka Wales ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ anashikilia rekodi ya kufunga goli kwa umbali mrefu zaidi. 21 January 2021 aliifungia goli klabu yake ya Newport county akiwa kwenye (6), umbali wa (96.01) meters.

16 โ—‰ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi ya kichwa Duniani (145).

17 โ—‰ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi UEFA champions league (140) anashikilia pia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kwenye timu za taifa Duniani (123).

18 โ—‰ Pele ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท alikuwa binadamu pekee aliyetwaa mara tatu kombe la Dunia. Rekodi hiyo inaishi mpaka sasa

19 โ—‰ Arsenal wanashikilia rekodi ya kutwaa Ubingwa wa EPL UNBEATEN, pia wanashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi za ligi kuu (49) UNBEATEN- EPL ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

Arsenal pia wanashikilia rekodi ya timu za England zilizocheza mechi nyingi zaidi UEFA champions league but hawajawahi kutwaa Ubingwa.

20 โ—‰ Golikipa, Lev Yashin anashikilia rekodi ya kuokoa penati nyingi zaidi Duniani (140).

NB ; Tutaendelea next time.

๐Ÿ“ Amka na โ€” ๐™๐™Š๐™ˆ ๐˜พ๐™๐™๐™•

GOD MORNING โ˜€๏ธ
 
... โ€บโ€บ ๐™๐™Š๐™ˆ ๐˜พ๐™๐™๐™• ๐™๐˜ผ๐˜พ๐™๐™Ž

Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.

01 โ—‰ Edson Arantes jina la utani, Pele ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi Duniani (1,281) including na magoli ya mechi za kirafiki.

02 โ—‰ Sergio Ramos anashikilia rekodi ya kuoneshwa kadi nyingi zaidi za njano (26) ndani ya mechi (38).

03 โ—‰ Kwenye top six EPL, Tottenham ndio klabu ambayo haijatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa muda mrefu zaidi. Wana miaka (59) bila kutwaa kombe la ligi kuu.

04 โ—‰ Lionel Messi ndiye binadamu pekee aliyefunga magoli mengi zaidi (91) ndani ya calendar ya mwaka mmoja.

ยป Messi pia ndiye binadamu pekee aliyetwaa tuzo nyingi zaidi za Ballon D'Or (7).

ยป Rais wa Liberia , George Weah anashikilia rekodi ya kuwa mwafrika pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon D'Or.

05 โ—‰ Robert Lewandowski anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi (5) katika mechi moja ndani ya dakika chache (9').

06 โ—‰ Jesse Lingard anashikilia rekodi ya forward aliyecheza mechi nyingi (25) bila kupiga shuti lolote golini.

07โ—‰ Eric Bailly ndiye mchezaji pekee UEFA Champions league aliyepiga shuti mpira ukatoka nje ya stadium katika karne ya (21) โ€บโ€บ Man United vs Valencia.

08 โ—‰ Klabu ya Liverpool ๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ inashikilia rekodi ya Dunia ya kukusanya points nyingi (97) kwenye msimu mmoja wa ligi yenye timu (20) bila kutwaa Ubingwa wa ligi kuu (18/19).

09 โ—‰ Sadio Mane anashikilia rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema zaidi (Dakika 2') akiwa Southampton ๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

10 โ—‰ Real Madrid ni klabu pekee kwenye historia iliyotwaa Ubingwa wa UEFA champions league mara (3) mfululizo

11 โ—‰ Hary Kane amefunga magoli (155) bila kutwaa kombe lolote

12 โ—‰ Aaron Svesve anashikilia rekodi ya kucheza dakika 90' bila kugusa mpira !!

13 โ—‰ Egypt ambao ni mabingwa mara (7) wa Africa hawajawahi kushinda mechi yoyote kwenye kombe la Dunia !!

14 โ—‰ Suleyman Mamam wa timu ya taifa ya Togo alicheza soka dhidi ya Zambia 2001 akiwa na umri wa miaka 13 na siku (310).

15 โ—‰ Golikipa Tom King kutoka Wales ๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ anashikilia rekodi ya kufunga goli kwa umbali mrefu zaidi. 21 January 2021 aliifungia goli klabu yake ya Newport county akiwa kwenye (6), umbali wa (96.01) meters.

16 โ—‰ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi ya kichwa Duniani (145).

17 โ—‰ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi UEFA champions league (140) anashikilia pia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kwenye timu za taifa Duniani (123).

18 โ—‰ Pele alikuwa binadamu pekee aliyetwaa mara tatu kombe la Dunia. Rekodi hiyo inaishi mpaka sasa

19 โ—‰ Arsenal wanashikilia rekodi ya kutwaa Ubingwa wa EPL UNBEATEN, pia wanashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi za ligi kuu (49) UNBEATEN- EPL ๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

Arsenal pia wanashikilia rekodi ya timu za England zilizocheza mechi nyingi zaidi UEFA champions league but hawajawahi kutwaa Ubingwa.

20 โ—‰ Golikipa, Lev Yashin anashikilia rekodi ya kuokoa penati nyingi zaidi Duniani (140).

NB ; Tutaendelea next time.

Amka na โ€” ๐™๐™Š๐™ˆ ๐˜พ๐™๐™๐™•

GOD MORNING
Uyo suleyman mamam huenda alidanganya umri manake anaonekana amestaafu na 25yrs tu so huenda Ni janjajanja za waafrika
 
Juninho Pernambuco ndio mchezaji aliyefunga goli nying zaio za freekick akifunga goli kama 77 hivi kama sikosei, kibabu pele akiwa na goli kama 70 hivi.
Messi kashazidi hizo alizofunga huyo mwamba wa brazil aliekuwa anakipiga olympic lyones
 
... ๐Ÿง  โ€บโ€บ ๐™๐™Š๐™ˆ ๐˜พ๐™๐™๐™• ๐™๐˜ผ๐˜พ๐™๐™Ž

Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.

01 โ—‰ Edson Arantes jina la utani, Pele ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi Duniani (1,281) including na magoli ya mechi za kirafiki.

02 โ—‰ Sergio Ramos anashikilia rekodi ya kuoneshwa kadi nyingi zaidi za njano (26) ndani ya mechi (38).

03 โ—‰ Kwenye top six EPL, Tottenham ndio klabu ambayo haijatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa muda mrefu zaidi. Wana miaka (59) bila kutwaa kombe la ligi kuu.

04 โ—‰ Lionel Messi ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท ndiye binadamu pekee aliyefunga magoli mengi zaidi (91) ndani ya calendar ya mwaka mmoja.

ยป Messi pia ndiye binadamu pekee aliyetwaa tuzo nyingi zaidi za Ballon D'Or (7).

ยป Rais wa Liberia ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท, George Weah anashikilia rekodi ya kuwa mwafrika pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon D'Or.

05 โ—‰ Robert Lewandowski ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi (5) katika mechi moja ndani ya dakika chache (9').

06 โ—‰ Jesse Lingard anashikilia rekodi ya forward aliyecheza mechi nyingi (25) bila kupiga shuti lolote golini.

07โ—‰ Eric Bailly ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ndiye mchezaji pekee UEFA Champions league aliyepiga shuti mpira ukatoka nje ya stadium katika karne ya (21) โ€บโ€บ Man United vs Valencia.

08 โ—‰ Klabu ya Liverpool ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ inashikilia rekodi ya Dunia ya kukusanya points nyingi (97) kwenye msimu mmoja wa ligi yenye timu (20) bila kutwaa Ubingwa wa ligi kuu (18/19).

09 โ—‰ Sadio Mane ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ anashikilia rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema zaidi (Dakika 2') akiwa Southampton ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

10 โ—‰ Real Madrid ni klabu pekee kwenye historia iliyotwaa Ubingwa wa UEFA champions league mara (3) mfululizo ๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

11 โ—‰ Hary Kane amefunga magoli (155) bila kutwaa kombe lolote ๐Ÿค”

12 โ—‰ Aaron Svesve anashikilia rekodi ya kucheza dakika 90' bila kugusa mpira !!

13 โ—‰ Egypt ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ ambao ni mabingwa mara (7) wa Africa hawajawahi kushinda mechi yoyote kwenye kombe la Dunia !!

14 โ—‰ Suleyman Mamam wa timu ya taifa ya Togo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ alicheza soka dhidi ya Zambia ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ 2001 akiwa na umri wa miaka 13 na siku (310).

15 โ—‰ Golikipa Tom King kutoka Wales ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ anashikilia rekodi ya kufunga goli kwa umbali mrefu zaidi. 21 January 2021 aliifungia goli klabu yake ya Newport county akiwa kwenye (6), umbali wa (96.01) meters.

16 โ—‰ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi ya kichwa Duniani (145).

17 โ—‰ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi UEFA champions league (140) anashikilia pia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kwenye timu za taifa Duniani (123).

18 โ—‰ Pele ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท alikuwa binadamu pekee aliyetwaa mara tatu kombe la Dunia. Rekodi hiyo inaishi mpaka sasa

19 โ—‰ Arsenal wanashikilia rekodi ya kutwaa Ubingwa wa EPL UNBEATEN, pia wanashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi za ligi kuu (49) UNBEATEN- EPL ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.

Arsenal pia wanashikilia rekodi ya timu za England zilizocheza mechi nyingi zaidi UEFA champions league but hawajawahi kutwaa Ubingwa.

20 โ—‰ Golikipa, Lev Yashin anashikilia rekodi ya kuokoa penati nyingi zaidi Duniani (140).

NB ; Tutaendelea next time.

๐Ÿ“ Amka na โ€” ๐™๐™Š๐™ˆ ๐˜พ๐™๐™๐™•

GOD MORNING โ˜€๏ธ
#. 4-Weah ndiyo mtwaa tuzo ya Ballon d' Or pekee duniani aliyekuja kuwa Rais wa nchi.
 
Back
Top Bottom