FFa and FFv! Ni vitu gani?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Ninapoplay baadhi ya nyimbo kwenye computa pale chini kulia naona maneno haya na nnapoyaclick inaonekana kama ni configuration je ni nini hv na nifanyaje?
 
kwani yanakupa shida yoyote? nafikiri ni music file format
hapo mwanzo hizi abrevationhazikuepo ila hivi sasa zinanishtua na nikizigusa na cusor zinaonesha maneno mengi mfano wa msg hivyo naomba kujuzwa!
 
Back
Top Bottom