Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,219
2,824
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!

Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto

Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?
 
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea...
Yani ndipo ujue kuwa nchi hii ina tatzo kubwa. Kama hata taasisi ya kusimamia elimu ambayo unategemea iwe na wataalum hawajui hata nembo za taifa we wadhani watoto watakuwaje wanaopewa elimu
 
We jamaa ni mpumb.....v wa kwanza kuwahi kukushuhudia jf.
Kama ulijua huwezi kuweka picha uliweka mada ya nini?
Mada ambayo ina ukakasi.

Eti oooh mtumishi wa umma.

Utumishi wa ny......k

Inatia hasira kuona wapumba....v kama nyny
 
Hovyo kwelii..
 
Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea!

Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa
1. Kwanza kumewekwa nyota tatu kwenye rangi nyeusi
2. Pili rangi ya bluu haipo tena badala yake kuna rangi nyekundu
3. Tatu ni kwamba bendera imepinduliwa zile rangi za ulalo badala zitoke chini kushoto kwenda juu kulia, wao wameweka zinatoka chini kulia kwenda juu kushoto
4. Hapohapo kwenye kubadili rangi wameweka rangi ya kijani upande wa juu badala iwe chini

Sijajua sheria za nchi zinasemaje kwa jambo kama hili maana nembo ya taifa ni miongoni mwa alama kubwa za Taifa sasa inapotokea watu wamezibadili hivyo inakuwaje?
Picha iko wapi?
 
Back
Top Bottom