Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Anapata wapi nguvu zakusema? Lazima kuna kitu nyuma ya pazia. Familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali sasa mtu kama huyu kuna haja kumchunguza anapat wapi hizo nguvu? Na nikwamasilah yanan anasema hayo?
Ni haki yake kama Mtz, kama binadamu. Haogopi kutetea hoja yake. Kwa wanzetu wengine rais mteule huapishwa baada ya angalau 3 months ili kutoa nafasi kwa mwenye hoja madai, malalamiko kisheria. Hapa hakuna nafasi hiyo na haraka haraka unaambiwa uchaguzi umeisha, siasa basi. Fukuto mwalitengeneza wenyewe. Ni haki kwa waznz na watz kujadili kujadili maswala yanayogusa usitawi wao, wanavyoona wao.
 
Uhuru wakutoa mawazo uheshimiwe. Ni kweli kuna kitu nyuma ya pazia nacho ni kuitetea demokrasia ya kweli bila ya woga. Ms Fatma ana weledi katika mambo ya sheria na ni mzalendo wa kweli. Kumchunguza nini? yeye ni mzanazibari na anazungumzia mambo ya Zanzibar. Hawezi kukaa kimya akiona demokrasia inarembewa nje ya dirisha kwa kuhofia kuchunguzwa na CCM Tanganyika. Tutawaleni kwa mabavu na mtutu wa bunduki na vifaru mitaani lakini msitufunge midomo. Tupeni uhuru wa kuamini angalau kuwa 2+2=4
Asante sana Mkuu
 
Kwani yeye ni nani mpaka apinge maamuzi ya Jecha salum Jecha!?

Kwanza siyo lazima amtambue Dr shein,kumbuka hata UKAWA hawamtambui Magufuli lakini wanamuomba asaidie suala la Zanzibar!
Umesema vema maamuzi ya jecha na sio ya wazanzibar
 
Uhuru wakutoa mawazo uheshimiwe. Ni kweli kuna kitu nyuma ya pazia nacho ni kuitetea demokrasia ya kweli bila ya woga. Ms Fatma ana weledi katika mambo ya sheria na ni mzalendo wa kweli. Kumchunguza nini? yeye ni mzanazibari na anazungumzia mambo ya Zanzibar. Hawezi kukaa kimya akiona demokrasia inarembewa nje ya dirisha kwa kuhofia kuchunguzwa na CCM Tanganyika. Tutawaleni kwa mabavu na mtutu wa bunduki na vifaru mitaani lakini msitufunge midomo. Tupeni uhuru wa kuamini angalau kuwa 2+2=4
Sijawahi sikia hiyo kitu inayoitwa mzanazibari, labda ni kizazi kipya cha wanzibabari
 
Anapata wapi nguvu zakusema? Lazima kuna kitu nyuma ya pazia. Familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali sasa mtu kama huyu kuna haja kumchunguza anapat wapi hizo nguvu? Na nikwamasilah yanan anasema hayo?
kama familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali kwa hiyo anapoona ukweli unapotoshwa asiseme kisa anakula vya serikali? kwa hiyo hata wewe ukiona jambo linapotoshwa huwezi sema ukweli kisa huna nguvu? hivi hii kitu umeiandika wewe au ameandika bibi yako aliemzaa shangazi wa mjomba wake kaka yako? think twice sio kuropoka ropoka tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom