Fatma Karume: Wananchi wa Tanganyika waulizeni CCM kwanini hawataki Tanganyika Iwe na Rais wake? Wazenji Si Adui wenu kwa hili!

Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amewataka Wananchi wa Tanganyika kuihoji CCM kwanini haitaki Tanganyika iwe na Rais wake

Karume amesema Wananchi kupitia Tume ya Wariioba walitaka Serikali 3 lakini CCM ikakataa

Fatma Karume amewahi kuwa Rais wa Tanganyika Law Society 😀😀
Na Wazanzibari nao waihoji CCM kwa nini haitaki Zanzibar huru?
Huu muungano wa mchongo ndiyo mchawi wa Tanganyika na Zanzibar huru.
 
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amewataka Wananchi wa Tanganyika kuihoji CCM kwanini haitaki Tanganyika iwe na Rais wake

Karume amesema Wananchi kupitia Tume ya Wariioba walitaka Serikali 3 lakini CCM ikakataa

Fatma Karume amewahi kuwa Rais wa Tanganyika Law Society 😀😀

😊

Utadhani ukoo wao hawakuhusika katika hilo...
 
Mm binafsi ningekuwa nna uwezo ningefanya moja kati ya mawili yafuatayo

1. Zanzibar ingekuwa mkoa wa Tanzania bara.

Au

2. Kusingekuwa na rais wa Zanzibar na makamu wake wote.
Yale yale ya tukose wote! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom