Rais Samia akutana na Mama Fatma Karume

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar.

Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa taasisi za kiserikali na binafsi kuhakikisha zinafanya juhudi za makusudi kuwapa wanawake nafasi ya kusikika, lakini huku hilo likiendelea, wanawake nao wanapaswa kujipanga ili kufikia malengo yao kwa vitendo.

IMG-20240314-WA0058.jpg
 
Huyu Mama, Rais Samia Suluhu Hassan, ni zaidi ya kiongozi.
Tanzania imepata bahati kubwa ya kuwa na kiongozi wa karba yake.
Mungu tulindie kiongozi wetu.
 
Kuna kiwanja nimenunua kizimkazi nitajenga hapo muda si mrefu.

Nataka nikiwa naamka naenda kuomba chumvi kwa maza.
 
Wanaume hawadumu dunian. Mama wa watu bado ana nguvu tele
 
Kuna kitu nilitaka kusema lakini naona niweke akiba ya maneno.

Kituo kinofuata kiwe Bumbwini alipozaliwa bibi Fatma.
 
Back
Top Bottom