mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
kuna ka utapeli hapa meleta mada umekaona mapema sana, fast jet sio ya walahoi na haina msaada mie nilienda nikambiwa 230tshs
kuna watu wanachekesha sana.....imeandikwa from 32,000.....haina maana LAZIMA upate ticket ya bei hio.....halafu kama ni msafiri wa ndege utajua kwamba ukikata tiketi muda mrefu kabla ya safari unapata unafuu wa bei!!!!sasa wewe unakurupuka leo unasafiri kesho unataka ticket ya bei ya chini hakuna kitu kama hicho....easyjet/ryan air wanaoperate europe na wana ticket za bei ya chini sana across europe................nishasafiri na BRITISH AIRWAY,SWISS AIR,KLM,EMIRATES zote hizo nilikata tiketi miezi kadhaa nyuma na nilipata bei nafuu ila ukikata leo kesho unaondoka utakoina cha moto ndio utaratibu wa mashirika ya ndege hata train za uk ukikata wiki kabla let say unaenda manchester from london itakuwa around 20-30GBP lakini ukikata leo uondoke leo inakuwa around 80-100GBP way expensive than taking a flight!
Wadau hivi ile nauli ya mbwembwe ya FastJet ya 75,000 Tsh Mwanza -Dar ilishia wapi! Kuna watu humu walibisha nilipotoa rai kuwa these people can not maintain such a low fare and sustain their presence in air transport industry. Wadau mnasemaje!
Leo nimebukia mtu flights Dar-Mwz kwa elfu 32k kwenda na kurudi 32k, jumla yake na kuongeza elfu 20 ya begi kwenda na kurudi. so watu watatu wanasepa kila mmoja kwa 106k.
hata nchi zilizoendelea ukibook mapema unalipa uchee siku zikizidi soge bei inapanda.
nilitaka kusahau tax elfu 11 mara mbili.
Tatizo letu sie watanganyika ni wepesi wakushabikia mambo pasipo kufanyia uchunguzi nauli za fastjet ziko Waziri ni elfu 32 pasipo kodi kwhy ikiwekwa na kodi nauli ya bei ya chini kabisa ni sh elfu 42 mia tisa hivi so unafuu unatofautiana na kulingana ulipia ticket yako lini,kwa wale walio kata mwezi mmoja kabla they are likely easy kupata bei ndogo kuliko waliolipia wiki moja kabla, binafsi nilishawai panda fastjet kwa elfu 42 from mwnz to Dar, sa ka we unataka fastjet ya kesho kutwa afu unataka nauli sawa na mtu alitunza ticket yake toka mwezi uliopita dah nadhani umepotea njia kacheck Mohamed trans au zuberi
Wadau hivi ile nauli ya mbwembwe ya FastJet ya 75,000 Tsh Mwanza -Dar ilishia wapi! Kuna watu humu walibisha nilipotoa rai kuwa these people can not maintain such a low fare and sustain their presence in air transport industry. Wadau mnasemaje!