Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence
Wapo waliopanda kwa bei hiyo na VAT inakuwa Tshs 44,000.00 lakini siku hizi tiketi hizo ni kama hazipo.