Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
1692184857686.png

Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani.

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kutokuwa na Bandari za Bahari, Bei za Mafuta ziko chini kulinganisha na Tanzania ikifuatiwa na (3) Uganda, (4) Kenya, (5) Rwanda na (5) Burundi.

Kwa takriban Miezi 3 sasa Bei za Mafuta Nchini zimekuwa juu tangu kuondolewa kwa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 100 kila mwezi ambayo ilisaidia kushusha Bei. Tofauti na Kenya ambako Rais Ruto ameamua kurejesha Ruzuku hiyo.

=================

It is common knowledge that the cost of fuel in any given region has a significant effect on the economy. The cost of fuel, especially gasoline, and diesel, has an impact on a number of areas of everyday living, including consumer spending habits and transportation expenditures. Some areas have recently seen periods of extraordinarily low gasoline costs, which offer both advantages and drawbacks.

The effects of rising fuel prices are having a severe impact on the African economy, as they do on many other countries across the globe. Numerous industries, including transportation, social welfare, economic development, and inflation, are significantly impacted by fuel costs. As countries across Africa seek sustainable growth, the challenge of managing rising fuel prices presents a complex conundrum that requires rigorous research and innovative solutions.

However, there are countries on the continent that still enjoy a relatively low cost of fuel. Simply put, a number of African countries sell fuel below the global average price of $1.33 per liter, while some sell fuel at an inconveniently high cost, especially when you consider the entire economy of such regions. Only 13 African nations sell at or above the world average price, highlighting Africa’s capacity to mitigate the global energy crisis.​

1692184991740.png

GLOBAL PETROL PRICE
 
Maadam tuna gesi basi tubadili mfumo wa magari kutumia gesi na viwanda pia kutumia gesi, tukiinunua hapa hapa kwetu bei itashuka na tutaweka ujazo mwingi kwa bei kama Bure.
 
View attachment 2718911
Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani.

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kutokuwa na Bandari za Bahari, Bei za Mafuta ziko chini kulinganisha na Tanzania ikifuatiwa na (3) Uganda, (4) Kenya, (5) Rwanda na (5) Burundi.

Kwa takriban Miezi 3 sasa Bei za Mafuta Nchini zimekuwa juu tangu kuondolewa kwa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 100 kila mwezi ambayo ilisaidia kushusha Bei. Tofauti na Kenya ambako Rais Ruto ameamua kurejesha Ruzuku hiyo.

=================

It is common knowledge that the cost of fuel in any given region has a significant effect on the economy. The cost of fuel, especially gasoline, and diesel, has an impact on a number of areas of everyday living, including consumer spending habits and transportation expenditures. Some areas have recently seen periods of extraordinarily low gasoline costs, which offer both advantages and drawbacks.

The effects of rising fuel prices are having a severe impact on the African economy, as they do on many other countries across the globe. Numerous industries, including transportation, social welfare, economic development, and inflation, are significantly impacted by fuel costs. As countries across Africa seek sustainable growth, the challenge of managing rising fuel prices presents a complex conundrum that requires rigorous research and innovative solutions.

However, there are countries on the continent that still enjoy a relatively low cost of fuel. Simply put, a number of African countries sell fuel below the global average price of $1.33 per liter, while some sell fuel at an inconveniently high cost, especially when you consider the entire economy of such regions. Only 13 African nations sell at or above the world average price, highlighting Africa’s capacity to mitigate the global energy crisis.​

View attachment 2718912
GLOBAL PETROL PRICE
Sisi tunashindwa WAPI??
 
Breaking! TANESCO yashindwa kesi Marekani na kutakiwa kuilipa IPTL billioni 320!
 
Back
Top Bottom