Fastjet na nauli ya 75,000 Tsh (Mwanza-Dar)

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wadau hivi ile nauli ya mbwembwe ya FastJet ya 75,000 Tsh Mwanza -Dar ilishia wapi! Kuna watu humu walibisha nilipotoa rai kuwa these people can not maintain such a low fare and sustain their presence in air transport industry. Wadau mnasemaje!
 
Dar-Mwanza wanakupiga kuanzia 130k one-way, usiguse go n return ni zaidi ya 300k
mmh
 
dar-mwanza wanakupiga kuanzia 130k one-way, usiguse go n return ni zaidi ya 300k
mmh
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence
 
Dar-Mwanza wanakupiga kuanzia 130k one-way, usiguse go n return ni zaidi ya 300k

mmh

Asante nilidhani labda wamenitapeli! Kumbe ilikuwa mbwembwe za kuwavuta watu! Kwa hiyo bado Precision itashindana maana wengu tulidhaniitakufa kumbe haifi!
 
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence
Hizi ni porojo tu,ila kimtindo wameleta upinzani kwa precision,ambayo iko hoi now
 
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence

Uko sahihi, wtu haa waongo! kama alivyosema mwenzetu angalau wameleta ushindani kea Precision, sio kumwezesha mlala hoi kupata usafiri mzuri! nilisema hakuna biashara ya hivyo ya ndege duniani, watu wakabisha sana humu jamvni! Wakasema eti EasyJet wana-operate hivyo europe!
 
mimi nilikata go n return ya mwanza dar kwa 290k watu walibisha sana humu na hiyo ilikuwa ni january2013 better mwingine huyu kaja sema hapa hauna kitu kinaitwa eti 32,000/= kwa ndege kama kuna mtu alishawahi panda hiyo fast jeti kwa 32,000/= aonyeshe ticketi hapa nampa tsh 100,000/=with scanned evidence

Nivea mm nilishapata ticket kwa bei hiyo but nashindwa kuiattach hapa naendelea kujaribu ila ili upata kwa bei hiyo ni lazima kukata ticket miezi miwili kabla ya safari.
 
Amanda, mwanzoni hawakusema hayo ya miezi miwili kabla. walisema unakata tiketi kwa elfu 75 bila kujali unasafiri lini! Ni kweli nimekata tiketi ya miezi miwili mblel kwenda mwanza na kurudi kwa 122,000 pamoja na mizigo midogo inclusive, lakini mwanzoni haikuwa hivyo! Sicho walichokisema!
 
gharama za ndege huwa zinapanda kutegemea na muda unaofanya booking ni vyema kutambua hilo nilienda kukata ticket Mwanza Dar mwezi wa tano ya kusafiri mwezi wa saba mwishoni kwa 59000/=
 
Amanda, mwanzoni hawakusema hayo ya miezi miwili kabla. walisema unakata tiketi kwa elfu 75 bila kujali unasafiri lini! Ni kweli nimekata tiketi ya miezi miwili mblel kwenda mwanza na kurudi kwa 122,000 pamoja na mizigo midogo inclusive, lakini mwanzoni haikuwa hivyo! Sicho walichokisema!
Aviation Industry haiendeshwi hivyo ninamashaka na aliyetoa hizo taarifa nauli haiwezi kuwa costant muda una athari kubwa kwenye ticket za ndege. Ni vyema uangalie gharama kwenye website yao kwa tarehe husika
 
Kwa waliotembea duniani kote watakuambia nauli za ndege hata siku moja haziwi sawa kwa abiria wote, hii ni kwasababu jinsi demand inavyoongeza na mda wa safari unavyokaribia nauli hupanda. Hivyo kwa anayekata ticket yake mapema anapata nauli nafuu na wale wa zima moto kama watanzania wengi tulivyo lazima ulipe premium price. Lakini hata wakicharge nauli ya juu wakati wameshajiestablish sokoni sio dhambi. Wale wajuzi wa mikakati ya masoko wanajua mikakati ya Market penetration vs Market skimming na mikakati hii inatumika wakati gani. They have just moved from penetration to skimming. Nani kakwambia wamekuja kutoa msaada wa kuwasafirisha? ATC yenu yenyewe ilishindwa kuwapa msaada, halafu ndo mtegemee investor wa nje aje awape msaada? They mean business and they are doing it professionally!
 
Uko sahihi, wtu haa waongo! kama alivyosema mwenzetu angalau wameleta ushindani kea Precision,
Nauli zipo chini inategemea unasafiri lini nenda fanya booking mwezi wa nane au tisa uone kama hutapata ya 32000 au 40000 . Lakini ukikata leo usafiri kesho lazima iwe juu coz ndege zinakua tayari zimejaa ndio maanda kila mtu anakua na bei yake depend with time of booking
 
Kwa waliotembea duniani kote watakuambia nauli za ndege hata siku moja haziwi sawa kwa abiria wote, hii ni kwasababu jinsi demand inavyoongeza na mda wa safari unavyokaribia nauli hupanda. Hivyo kwa anayekata ticket yake mapema anapata nauli nafuu na wale wa zima moto kama watanzania wengi tulivyo lazima ulipe premium price. Lakini hata wakicharge nauli ya juu wakati wameshajiestablish sokoni sio dhambi. Wale wajuzi wa mikakati ya masoko wanajua mikakati ya Market penetration vs Market skimming na mikakati hii inatumika wakati gani. They have just moved from penetration to skimming. Nani kakwambia wamekuja kutoa msaada wa kuwasafirisha? ATC yenu yenyewe ilishindwa kuwapa msaada, halafu ndo mtegemee investor wa nje aje awape msaada? They mean business and they are doing it professionally!

Asante kaka kwa uelimishaji watu wengi hawajui ila wanapenda kuongea. Big up sana
 
Last week nilikata return Mwanza-Dar 422,000.nililipa kwa kuwa ilikuwa inalipiwa na ofisi. Hizo nauli za nafuu huwa hakuna ingia kwenye website yao uone.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom