Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Napenda kujua maoni ,experrince na observation zenu kujua ni FAQ ( Frequently asked Questions) gani huwa zinaulizwa sana sana na mara kwa mara kuhusu mambo ya Teknolojia na habari , mawasiliano, Simu na mambo ya computer aka ICT.
Mfano mara nyingi tunalizana uhusu
Nahitaji msaada wa maswali common tu .Majibu nitayafanyia reseacrh ili niyaweke kwenye ukurasa wa gym ya ICT dokta
Nawasilisha
Mfano mara nyingi tunalizana uhusu
- Antivirus gni ni bora, Browsergani ni Bora
- Laptop gani inafaa, Simu gani nzuri
- kati ya Mac na windows ipi ni bora
- Commuter iko slow nini sababu.
- ect?
- etc
Nahitaji msaada wa maswali common tu .Majibu nitayafanyia reseacrh ili niyaweke kwenye ukurasa wa gym ya ICT dokta
Nawasilisha