Familia nyingi hazijawahi kubadili kitanda na godoro hadi UZEENI

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi anastaafu amekuwa na Kitanda alichonunua kwa mshahara wake wa kwanza.

Bahati mbaya sana kitanda kilichotumika kukuzaa unakuta umerithishwa na wewe umekitumia kupata watoto wako. Nadhani ni kutokana na hali ya Maisha ILA MIMI NINGETAFUTA CHANGU KUPATA WATOTO NA SIO CHA WAZEE WANGU.

Anyway Nadhani sina issue nimejiandikia tu maana sina pa kwenda leo.

Kuna watu wakinunua Kitanda, godoro na kabati yaani ndio HADAIWI TENA MAISHANI , NI KAMA NYUMBA TU KWAKE.

Legendary ambaye hulalii kitanda cha urithi na ambaye umebadilisha kitanda cha kwanza na kununua godoro jipya JIPIGE KIFUANI MARA TATU UJIPONGEZE
 
Hakuna asiyependa vitu vizuri, wakati mwingine ni ugumu wa maisha hupelekea hayo

Matajiri wapo wanabadili furniture za ndani zote kila baada ya mwaka 😄😄😄

Sasa wa maisha saizi ya kati na chini hawana jeuri hiyo na siyo kwamba hawapendi ni hakuna namna, kagodoro wazazi, watoto, wajukuu, vitukuu wooote wametombania hapo!!!
 
Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi anastaafu amekuwa na Kitanda alichonunua kwa mshahara wake wa kwanza.
Bahati mbaya sana kitanda kilichotumika kukuzaa unakuta umerithishwa na wewe umekitumia kupata watoto wako. Nadhani ni kutokana na hali ya Maisha ILA MIMI NINGETAFUTA CHANGU KUPATA WATOTO NA SIO CHA WAZEE WANGU.

Anyway Nadhani sina issue nimejiandikia tu maana sina pa kwenda leo.

Kuna watu wakinunua Kitanda, godoro na kabati yaani ndio HADAIWI TENA MAISHANI , NI KAMA NYUMBA TU KWAKE.

Legendary ambaye hulalii kitanda cha urithi na ambaye umebadilisha kitanda cha kwanza na kununua godoro jipya JIPIGE KIFUANI MARA TATU UJIPONGEZE
Kulishangaa jambo hilo ukiwa ni Mtanzania unayeijua hali halisi ya maisha na uchumi wa Watanzania wengi basi,unatakiwa watu wakushangae sana.
 
Back
Top Bottom