godoro

  1. collinswilliam63

    Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Mwenye kujua ubora wa godoro tajwa hapo juu naomba aniambie mana na nikitaka kujua hili ni lenyewe au feki nagunduaje?
  2. R

    Mwanadamu, ujasiri wa kumnyang'anya godoro masikini unayemdai umeupata wapi?

    Salaam,Shalom!! (Mithali 19:17) Amhurumiaye maskini, humkopesha BWANA. Mungu anachukia sana Umaskini, lakini anawapenda sana maskini, Mungu ndiye hufukarisha, na ndiye hutajirisha!! Maskini wa Leo ni tajiri kesho, maana Mungu ndiye huwapandisha maskini na kuwaketisha pamoja na wakuu na...
  3. Yesu Anakuja

    Natafuta Chumba, Kitanda na godoro 4x6

    Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self, 1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda 2.kitanda 1 futi 4x6 3.godoro 1 futi 4x6 kama kuna anayeuza hivyo, tuwasiliane.
  4. C

    Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

    Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring...
  5. Pdidy

    Mikopo ya kausha damu ipo mtaani, tuwe makini

    Dakika kadhaa zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu Wamekuja wanaojiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada Dada akagoma kufungua, wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia...
  6. Baba Ndubwi

    Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  7. LA7

    Nimechoka kulalia godoro chini

    Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda Naweka Nia mpaka mwezi huu...
  8. M

    Familia nyingi hazijawahi kubadili kitanda na godoro hadi UZEENI

    Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi...
  9. Magari ya Biashara

    Kitanda bila godoro kinauzwa bei 90,000/=

    Kitanda 5 kwa 6 bila godoro Bei 90,000 Kipo Ubungo 0789283031
  10. D

    INAUZWA Kitanda na Godoro vinauzwa

    Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=). Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza. Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo...
  11. sepema

    Sikujua kuwa style yake yakufika kileleni ni kulowanisha godoro

    Heri ya jumapili kwenu... Juzi kati nimebahatika kutunukiwa tunda na binti mmoja mwenyeji wa huko pembezoni mwa ziwa Victoria,japo aliniweka wazi kuwa asili yawazazi wake wote ni wanyarwanda. Katika mazungumzo yetu kabla hatujaingia kwenye mchezo akagusia kipengele Cha wao(wanawake wakanda...
  12. M

    INAUZWA Godoro 5&6 nchi 10, kitanda na jaba vinauzwa

    Godoro ni Comfy Limetumika kdg sana Muuzaji yupo Tiptop Manzese Dsm Contact 0654973754 Muuzaji ana hamia mkoani kesho Bei laki 3 vyote
  13. willy ze great

    INAUZWA Nauza Godoro Comfy 5 * 6 inch 8

    Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000 Bei imeshuka 100,000 0762165498 0778444669 Liko Mabibo karibu na soko la Engo
  14. P

    Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

    Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment. Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika. So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
  15. Carleen

    Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Habari, Kitanda kinauzwa 5*6, bila godoro, hakina tatizo lolote na sababu ya kukiuza ni muhusika anahama mkoa kikazi, Location ni Mbezi beach, Bei yake ni 250K, No. ya simu whatsap ni 0764-955-657 na call ni 0686-816804..!!
  16. C

    INAUZWA Kitanda, godoro, kabati na sofa

    vinauzwa vipo dar kitanda 6*6 100,000 godoro 80,000 kabat 180,000 sofa 65,000 piga/tuma sms 0625618177
  17. Suley2019

    INAUZWA Kitanda na godoro vinauzwa Kimara Baruti

    Kitanda cha chuma Futi 4 kwa 6 pamoja na godoro lake vinauzwa . Bei Shiling laki tatu 300,000/= Mawasiliano: 0623 325 015 Location: Kimara Baruti, Dar es Salaam Karibuni
  18. Analogia Malenga

    Adaiwa kuiba mtoto, achoma godoro ionekane kateketea

    Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa), mkazi wa kijiji cha Msata mkoani Pwani, kwa tuhuma za kumuiba mtoto mwenye umri wa wiki moja na kisha kuchoma godoro alilokuwa amelalia mtoto huyo ili ijulikane ameteketea kwa moto. Tukio hilo lilitokea Juni 11...
Back
Top Bottom