bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
shetani ana visa vingi wapi mosii kitoko,fally mutoto mudogo sana juu ya masauti ya shetani gol.
hata ferre golla"syetani" kashapiga zenith na alijaza fullHuwezi ukamlinganisha Fally na kijana yeyote katika fani ya music kwa Africa nzima achilia Congo DRC.huyu bwana ni hadithi nyingine kabisa .Moja ya steteme
nt zake ni kwamba atacheza/fanya muziki mpaka kuku na mende wamjue .Fally ameweza fanya Concert Zenith-Paris peke yake na akajaza umati ambapo ni wakongwe ndio wanaiweza shughuli hiyo kina Werason,koffi,JB mpiana,papa wemba....
yah ferre aliimbia hizo bendi mbili kwa wakati tofauti lakini hakuanzia hapo,ferre golla kaanza kujifunza kuimba na kupiga muziki akiwa na kundi la wenge born chic bon gerre(bcbg)enzi hizo.na alikua mpambe tu wa wanamuziki kina alain makaba,didier masela,jibe mpyana na werason ngiama.na kipindi kundi linavunjika ferre aliamua kuondoka na werrason na ndio akatoa kitu vita imana.Fere sio Mwanafunzi wa Koffi, acha matusi. Alijiunga nae kama amesha hit vibaya with Balndine na Vita Imana, from Wenge Musica Maison Mere... aliingia Kwa
koffi from his own band (Les Marquis). He is a pair to Koffi (kumbuka Insecticide)
kitu cha moboko pamba na Bircabonate>>>>ferre gola ni mkali ila Fally ni mkali zaidiKwa wale wenzangu wapenzi wa miziki ya lingala,naomba view zenu.Mimi binafsi ninawakubali sana hawa wasanii wote wawili kiasi ninashindwa kuamua yupi zaidi.Naomba mtazamo wako,nani mkali zaidi kati ya Fally na Ferre.
Mkuu ni chetani golla sio shetani golla inavyotamkwa ni kama shetani lkn sio.Hakika shetani gola anatisha bandugu
Kwa wale wenzangu wapenzi wa miziki ya lingala,naomba view zenu.Mimi binafsi ninawakubali sana hawa wasanii wote wawili kiasi ninashindwa kuamua yupi zaidi.Naomba mtazamo wako,nani mkali zaidi kati ya Fally na Ferre.
Done for you mkuu...
Lazima watu watampenda Fally coz ndio wanamjua, na pia hawaelewi lyrics zao, so game yote inaishia kwenye kuakta kiuno tu, wala sio artistic evaluation.
Mkuu Jaguar Nakubaliana na wewe Fally kwa Sebene yupo vizuri hilo halina ubishi................ila kwenye rhumba bado ntabaki kumtetea Ferre Golla..............Labda tuwatofautishe kwa aina ya Muzik wanaopigai
wapi chachu ombara