Fally Ipupa vs Ferre Gola.

Nani mkali?


  • Total voters
    29
shetani ana visa vingi wapi mosii kitoko,fally mutoto mudogo sana juu ya masauti ya shetani gol.
 
shetani ana visa vingi wapi mosii kitoko,fally mutoto mudogo sana juu ya masauti ya shetani gola.
 
mimi kabla hawajaimba niko hooi kabisa.....macho yangu yanashindana na moyo, ubongo kila kitu....sijui niyang'ofoe......
 
Huwezi ukamlinganisha Fally na kijana yeyote katika fani ya music kwa Africa nzima achilia Congo DRC.huyu bwana ni hadithi nyingine kabisa .Moja ya stetement zake ni kwamba atacheza/fanya muziki mpaka kuku na mende wamjue .Fally ameweza fanya Concert Zenith-Paris peke yake na akajaza umati ambapo ni wakongwe ndio wanaiweza shughuli hiyo kina Werason,koffi,JB mpiana,papa wemba....
 
Huwezi ukamlinganisha Fally na kijana yeyote katika fani ya music kwa Africa nzima achilia Congo DRC.huyu bwana ni hadithi nyingine kabisa .Moja ya steteme
nt zake ni kwamba atacheza/fanya muziki mpaka kuku na mende wamjue .Fally ameweza fanya Concert Zenith-Paris peke yake na akajaza umati ambapo ni wakongwe ndio wanaiweza shughuli hiyo kina Werason,koffi,JB mpiana,papa wemba....
hata ferre golla"syetani" kashapiga zenith na alijaza full
 
Fere sio Mwanafunzi wa Koffi, acha matusi. Alijiunga nae kama amesha hit vibaya with Balndine na Vita Imana, from Wenge Musica Maison Mere... aliingia Kwa
koffi from his own band (Les Marquis). He is a pair to Koffi (kumbuka Insecticide)
yah ferre aliimbia hizo bendi mbili kwa wakati tofauti lakini hakuanzia hapo,ferre golla kaanza kujifunza kuimba na kupiga muziki akiwa na kundi la wenge born chic bon gerre(bcbg)enzi hizo.na alikua mpambe tu wa wanamuziki kina alain makaba,didier masela,jibe mpyana na werason ngiama.na kipindi kundi linavunjika ferre aliamua kuondoka na werrason na ndio akatoa kitu vita imana.
Less maquis ni bendi ya bill clinton kalondji ambapo ferre aliwahi kuimbia kishkaji kabla hajaanzisha bendi yake
 
fally anaimba vizuri na kudance inavyotakiwa,lakini ni pale tu akipiga na bendi yy akiwa km mwimbaji huku waimbaji wengine maarufu wakimsaidia,hapo ferre atachemka.lakni kwa style ya sasa fally hakubaliki congo,ferre kule ndo kateka soko kwasasa
vote yangu kwa ferre
 
Kwa wale wenzangu wapenzi wa miziki ya lingala,naomba view zenu.Mimi binafsi ninawakubali sana hawa wasanii wote wawili kiasi ninashindwa kuamua yupi zaidi.Naomba mtazamo wako,nani mkali zaidi kati ya Fally na Ferre.
kitu cha moboko pamba na Bircabonate>>>>ferre gola ni mkali ila Fally ni mkali zaidi
 
sikutegemea hata sikumoja kama kuna wapenzi wengine wa Muziki wa Congo hasa Lumba la congolese nilijua nipopeke yangu ninayependa Muziki wa Congo mpaka sili chakula mpaka uishe kuusikilize wakuu hasa Wanamuziki hawa Ferre,Ipupa na WERRA yaaani basi tu wakuu.
 
japo Mimi ni shabiki mfu wa ferre goal,ila habari ya mujini kwa sasa ni "ekotite" ya baba lao,mupao koffi olomide.hutaki unaacha
 
Last edited by a moderator:
dah wimbo pekee ninaoujua kutoka Congo ni Sweet Life wa Fally, I like the song
 
Kwa wale wenzangu wapenzi wa miziki ya lingala,naomba view zenu.Mimi binafsi ninawakubali sana hawa wasanii wote wawili kiasi ninashindwa kuamua yupi zaidi.Naomba mtazamo wako,nani mkali zaidi kati ya Fally na Ferre.

Bro Ferre Golla ni kiumbe mwingine. Fally kaharibiwa na mademu wa America. Nyimbo zake sijui anazitungia wapi yaani haziakisi mziki wa Congo. Ukitaka kulala mapema msikilize Ferre hasa vibao kama; Vieux Jaloux na Porte Monnaie pia katafute translation za hizo nyimbo Google then njoo usikilize upuuzi wa nyimbo za kina Diamond na Kiba. Mimi ni timu JB Mpiana na namkubali JB kwa sababu ya historia yake na anavyomudu concert kubwa kwenye viwanja vya mipira maarufu kama Fikin.
 

Attachments

  • 1447169426008.jpg
    1447169426008.jpg
    30.8 KB · Views: 173
  • 1447169587570.jpg
    1447169587570.jpg
    20.3 KB · Views: 182
Mkuu Jaguar Nakubaliana na wewe Fally kwa Sebene yupo vizuri hilo halina ubishi................ila kwenye rhumba bado ntabaki kumtetea Ferre Golla..............Labda tuwatofautishe kwa aina ya Muzik wanaopigai

Ukiwasikiliza kwa makini hawa ni wanapiga miziki ya aina mbili tofauti....so nawachukulia kama walivyo....Fully is a hybrid of Koffii
 
Fally ni hatari aisee Naona hata vijana dully na diamond wamejaribu kuingiza vionjo vyake ktk nyimbo zao
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom