Fally Ipupa vs Ferre Gola.

Nani mkali?

  • Total voters
    29
mimi pia hawa washkaj wana nichanganya balaa wote wakali lakin ferre gola anaradha fulan hv ambayo waimbaj wengi hawana kwenye mauno apo utakesha akiamu kukatika hatumii nguvu ila balaa lake hatari ipupa pia sio mbaya ila kuna viradha na vionjo fulan vya sauti gola kampiku ila kumiliki stage ipupa ni moto
 
Ferre ndiye sasa kaishika Congo kwa nyimbo zilizopangiliwa pia madancer warefu walio na mknd ya ukweli.
 
japo Mimi ni shabiki mfu wa ferre goal,ila habari ya mujini kwa sasa ni "ekotite" ya baba lao,mupao koffi olomide.hutaki unaacha

Nani anapenda nyimbo za kukurupuka kama hiyo!!?
 
Last edited by a moderator:
Ferre si mwanafunzi wa koffi bali alipitia tu kwa koffi tena kwa muda mfupi akiwa tayari maarufu,ferre ni mhitimu wa university of wenge musica bcbg 4x4 Tout Terrain a.k.a.wenge original iliyokamilika ya kina Papaa Cherie Salvatory de la Patria JB MPIANA a.k.a.Papaa na Daida,Le Roi De la Forret WERRASON,BLAIZE BULLA a.k.a.sele bulla,Le Big Tata ADOLPHE DOMINGUEZ,DIDIER MASELA na ALAIN "prince" MAKABA.Hawa kwa pamoja ndio waliompika FERRE GOLA,AIMELIA LYASE DEMIMGONGO,ALAIN MPELA "Afande",TUTU CALUDJI n.k.

Fally Ipupa De Caprio yeye kweli unaweza kusema ni mwanafunzi Le Rambow du Zaire Mopao Mokonzi Quadra Koraman KOFFI OLOMIDE a.k.a.Papaa na Didistone,kwanini basi tunasema fally ni mwanafunzi wa Koffi?Jibu ni kwamba Fally hakuwahi kufanya kazi katika bendi yeyote inayoeleweka zaidi ya QL ya koffi Olomide na toka anakua fally ndoto yake ilikua kuja kufanya kazi kwa koffi olomide na kudhihirisha hilo fally ambae alikua kwenye waiting list ya QL ya koffi olomide kwa muda mrefu kiasi kama angekua na roho ndogo angekata tamaa aliwahi kupata chance ya kufanya majaribio wenge maison mere ya kina WERRASON,ADOLPHE DOMINGUEZ na DIDIER MASELA mwanzoni kabisa wakati wanaisuka bendi hiyo baada ya kutengana na Kina JB MPIANA walioondoka na wanamuziki karibu wote kwenda kuunda wenge bcbg hii ya mpiana,kilichotokea ni kwamba Kina WERRASON na wenge yao maison mere(wenge makao makuu) waliitisha vijana wote wa congo wanaojiamini kuwa na vipaji mbalimbali vya muziki kuja kujaribiwa,miongoni mwa vijana waliojitokeza alikua ni huyu Ipupa Nsimba aka Fally Ipupa aka "DiCaprio" aka "La Merveille,ambaye alifanya vizuri sana kwenye mchujo wa uimbaji uliosimamiwa na majaji watatu FERRE GOLA ambae ndie mwanamuziki wakwanza kujiunga na maison merre kwa kuwa wenge original ilipogawanyika yeye alimfuata WERRASON,majaji wengine ukiacha FERRE walikua WERRASON na ADOLPHE DOMINGUEZ.

Baada ya FALLY kukubalika na majaji wote hao watatu baadae akafuatwa na WILLY BULA(Kaka wa Blaize Bulla wa wenge bcbg)ambae alikua ni kama kaka ya kina FALLY mtaani kwao na ambae alikua ni mwimbaji kwa KOFFI na pia refa muhimu wa FALLY aliekuwa akimpigia debe kwa KOFFI yeye FALLY na mtaalam mwingine BOURO MPELA(mdogo wake Alain Mpela kama mnaikumbuka album ya KOFFI altimutum kuna mtu mwishoni anacheza kwa kujikunja kama nyani).WILLY BULA ndio akamshika masikio Fally kwa kumwambia asiwe na haraka kujiunga na MAISON MERE kwani atapoteza chance kutimiza ndoto yake ya miaka mingi ya kujiunga na koffi,ndioa akampeleka kwa koffi ambae akakubali awe anakuja kufanya mazoezi na kushiriki local concerts za bendi ambapo kipaji chake cha kucheza kwanza ndio kilimkuna koffi kabla ya kuanza kupewa misingi ya uimbaji na koffi akishirikiana na kina SUZUKI 4X4 na wengine...huo ndio ukawa mwanzo wa safari ndefu ya FALLY ambae koffi anamuelezea kama ni kifaa kilichomuumiza sana baada ya kutimka.

Napata kigugumizi wa hichi ulichoandika hapa. Na kwa vipi Ferre Gola alipikwa na JB Mpiana na Alain Makaba prince? Nijuavyo mimi, Ferre hakuwahi hata kuingiza vocal katika wimbo wowote wa Wenge Musica BCBG (Wenge Original) zaidi ya kupewa nafasi katika baadhi ya concert za wenge tena akiimba nafasi ya mtu aliyekosekana siku hiyo Mfano ni show za Wenge za Abdjan miaka yq 1996-97. Na kazi zake zilianza kujulikana baada ya Maison Mere kuanzishwa.
 
Back
Top Bottom