Madilu system vs Franco luambo makiadi nani alikua bora zaidi.

venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
555
1,637
Nimekua mshabiki wa rumba kwa muda mrefu,nilipenda nyimbo za Congo hasa zile za zamani kidogo kuliko za sasa.Hawa magwiji wawili ndio walinivutia kuipenda rumba,nina album nzima ya madilu system na nimekua addicted na nyimbo zake japo sielewi lugha kiukweli ,Franco naye nimemsikiliza sana ila nimeshindwa kuwaweka ktk mzani mmoja ni sawasawa na ninavyoshindwa kujua yupi zaidi kati ya ferre gora na fally ipupa,turudi katika mada wapenzi wa rumba nani alikua mkali zaidi ni Franco au madilu?,alafu niliwahi ambiwa kuwa wasanii wengi wa Congo ndumba ndio ziliwasaidia sana ktk muziki kuna ukweli pia?Karibuni
 
Candidat na biso mobutu,
Ngungi
Mario
Arzoni
Asifu
Dah mkuu Franco Luambo Makiadi kwa Africa hajatokea mtu wa kuziba pengo lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom