Faida na hasara ya kutumia jina moja kwenye biashara mbalimbali

JumGem

New Member
Jul 30, 2017
2
3
Habari wana JF..
Naomba Kuuliza Je ni kuna faida/hasara gani za Kutumia Jina Moja kwenye Biashara Tofauti tena zilizopo Mkoa/Willaya Moja
Mfano
1 JUNDOX FURNITURE'S
2 JUNDOX BARBERSHOP
3 JUNDOX STATIONERY
4 JUNDOX DIGITAL
5 JUNDOX STUDIO

Naomba msada kwa wanaofahamu hasara/faida za kibiashara ukifanya hivo
 
Tusubiri wadau
 
Faida ni kubwa wanapata ushahidi wa uwekezaji wako.
Hasara ni pale unaposhindwa kulipa madeni wanakamata kila chenye kubeba jina.
Halafu Zakayo mtoza ushuru( TRA) atakuletea makadirio ya kishirikina katika ulipaji kodi.🙂
 
Hasara ya kutumia brand moja kwenye biashara tofauti ambazo zipo ndani mkoa mmoja hupelekea kuchanganya sana wateja hususani kwenye masuala ya kumpatia mteja location

Ushauri wangu, kama kampuni inataka kuwekeza biashara tofauti kwenye mkoa/wilaya moja ni bora itengeneze jengo moja litajalojumuisha huduma zote zinazotolewa na kampuni hilo
 
kwanza sikushauri ufanye Biashara tofauti tofauti kwa wakati mmoja hasa kama Ndio unaanza kufanya Biashara chagua Biashara moja Wekeza Nguvu zako zote kwenye Hiyo Biashara moja ikuze ikue Hadi ifike atua jina lako liwe Namba moja sokoni dheni badae ndio jaribu kufanya Biashara nyingine ukifanya Biashara moja kwa kipindi kirefu ni rahisi sana kuwa na Constiency tofauti na ukisema ufanye Biashara Nyingi kwa wakati mmoja apo utakachokifanya utapatanya Nguvu zako Bure afu utashindwa kutengeneza identity watu wakutambue wew umebobea sana kwenye Biashara Gani
 
Back
Top Bottom