Faida na soko la Biashara ya usafirishaji mizigo ipoje?

thefarmer

Member
Jun 13, 2023
19
41
Habari wanajamii, nilikuwa na ndoto ya kusave nije kuanza biashara ya kusafirisha mizigo (kutumia semi) au hata kuwa na tipa la howo la 20cm3.

Nimejikuta kuzikubali sana hizi tipa za howo kasoro tu sijui soko lipoje na faida ipoje? Hivyo naomba mtu atakaeweza kunielekeza faida kwa upande wa semi trailer na kwa upande wa tipa kubwa.

SWALI LA NYONGEZA: Kwa nini matajiri wengi wana invest kwenye hii biashara?
 
Back
Top Bottom