Kiaje na kivipi unaweza kuchanganua faida na hasara ya biashara ya duka?

Waziri Yusuph

New Member
Nov 8, 2023
1
0
Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya duka jinsi ya kuiendesha kwan nakuwa Kwa kazi lakin nashndwa kuchanganua hii faida au hasara.
 
Biashara ya Duka hasa duka la vitu vingi ni ngumu sana , lazima utumie muda wako mwingi kuwepo dukani hapo ndipo wafanyakazi tulioajiliwa tunashindwa .Kuhusu faida kama unajua bei ya kununua vitu ,ya kuuzia na matumizi mengine kama eneo ,umeme ,muuzaji etc unaweza ijua .​
 
Back
Top Bottom