bila shaka atakua amepata habari kutoka kwa ma HR maana research hii haina hata tija kwa jamii..halafu uje na research ya wajasiriamali waliopitia hivyo vyuo tajwa hapo juu..sheeeeee....nz..kweeeeeeelyy kweeeeeeeeeeelyyySamahani mtoa hoja naomba utuletee ripoti kamili ya huo utafiti unaosema umefanywa na wataalamu wengi!
vipi marketing ina soko?Vipi marketing, procurement, na BBA zote za mzumbe? Nimefanya BAF mzumbe but BBA logistics, marketing and enterprenurship za mzumbe ni kali sana as wana interaction nzuri sana na walimu as wapo wachache sana,, mafano mwaka wangu watu wa procurement walikuwa 20 tu darasan kwao kias cha walimu kumjua kila mtu na uwezo wake, na hata assigment na presentations wao wanafanya individual hakuna kutegeana,,, also baada ya kuajiriwa nikagundua uwezo wa kichwa cha mtu ndo muhim kuna watu wamesoma udom, saut, tumaini etc but they are too good kwenye utendaji kuliko hata waliosoma kwenye ivy league universities
hujafanya utafiti bado unaonekana unakurupukia majina tu!mfano hiyo numero 14 hakuna kitu kama hicho ingawa ni chuo chao lakini uliza watu wote wanaofanya kazi TRA hakuna anaetokea ITA majority ni IFM na CBE tna usiendelee kutudanganya hii sio facebook
Hata kama na yeye katokea vyuo vikubwa kwa hiyo heading naamini kabisa ule usemi, "katika safari ya mamba na kenge wamo".Hebu rekebisha heading yako,kama na wewe ni mhitimu wa mojawapo ya vyuo hivyo basi tuna kila sababu ya kutilia shaka ubora huo kwa kuangalia uandishi wako
Uuuuuuupfuuuu mbavu zangu.Kuna Data star Training Collage,Eagle Training Collage,Zoom training collage..halafu kuna kimoja kinaitwa Kajinyee training collage kinajengwa na wachina hapa Tabata..watakuwa wanatoa training ya uendeshaji bodaboda..
Utafiti....uliofanywa na wataalamu wengi unaonesha watu wengi ambao wapo maofisini na hufanya vizuli na hukubalika......kutokana na vyuo hivi kutoa watalaamu katika fani hizi ndio wanaofanya vizuli tukianza
jina la chuo fani sifa za graduate maofisini katika idara
1.T.I.A.........CHUO BORA KWA ACCOUNTS AND PROCUREMENT
2.UDSM.......CHUO BORA KWA LAW,HR,POLITICAL SCIENCE,STATISTICS,EDUCATION,BCOM AND ENGINEERING
3.I.F.M..........CHUO BORA KWA BANKING AND FINANCE
4.D.I.T...........CHUO BORA KWA ENGINEERING EXPCEPT COMPUTER ENGINEERING
5.MUHAS AND KCMC.......PHARMACY AND MEDICINE
6.LEARN IT.......CHUO BORA CHA INFORMATION TECHNOLGY
7.ARDHI UNIVERSITY.........CHUO BORA KWA ARCHETURE AND URBAN PLANNING
8.N.I.T AND VETA.............DRIVERS AND AUTOMOBILE ENGINEERING
9.MAGOGONI.......... secretarial COURSE........
10.madini mining and minerals hapa ndipo vijana hufanya vizuli
12.BANDARI COLLEGE ....... clearing and forwading hapa vijana toka hichi chuo hapata
and port mangement sana shavu sana bandarini
13.d.m.i water transporation mabahalia wengi kutoka hiki chuo
hufanya vizuli
14.i.t.a tax administration hichi ndio chuo pekee t.r.a hupenda
kuchukua vijana wakafanye kazi
15.civil aviation air hostels,flight operators
training cargo handling
16.D.S.J......... journalism hiki ndio chuo ambacho hutoa graduates
wazuli kuliko vyuo vyote tanzaniaa katika
tasnia ya habali
17.muccobs corperative hapa ndio kidogo cooperative subject
kuhusu vyuo vingine...........sikuwahi kupata sifa zao wakiwa maofisini ....lakini hivi ndivyo vyuo pekeeee ambavyo ukisoma hizi fani unakubalika kuliko chuo chochote