akizungumza katika hafla ya kuzindua dira ya UDSM miaka 50 ijayo, mkurugenzi wa NHC Nehemia Mchechu Kwa niaba ya wenzake aliwasifia wahitimu wa Ud kuwa wanajituma sana,akaongeza kuwa wanaaminika ktk idara mbalimbali na wamekuwa ni msaada mkubwa sana maofisi.