MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
- Thread starter
- #41
Kuna aina kama tatu za scientist na aina moja inaweza kucontaminate imani. Hawa ni Ethiest/Evolutionists scientists ambao wengi wanastudy nature kumprove wrong Mungu na baadhi yao wanafika mahali wanakuwa frustrated. Kuna Aina nyingine wao wanastudy nature wakiwa na nia ya kuprove alichokisema Mungu na uwezo wake mkubwa. Na kuna wengine wanafanya tafiti with free mind na hawana uhusiano wowote na imani yoyote ile, Lakini wote hao huwa wanakutaka kwenye findings nyingi na kukubaliana au kubishana. Yawezekana hao waumini wanakatazwa ili wasiwe contaminated. Lakini Scince as Science is the greatest and sure tool to strengthen believer's Faith.Kwa hiyo umekiri kwamba wapo waumini(walio wengi) wanaamini kuijua sayansi in Deep, ni kujiweka mbali na Mungu(kukufuru)?
Kumbuka wapo wengi(watu wa dini)aim yao number moja ni Kutubrainwash sisi waumini ili tusiwe na uwezo wa kuhoji ili watutawale kirahisi kama misukule. Huu mchezo ni kinyume na matakwa ya Mungu wa Kwenye bibilia.