FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

WALAWI11
Mtu yoyote akiguza kitu kilichokufa, au afue nguo zake kabla ya kufanya chochote anawe awe safi kwa maji. Ignaz Phillip Semmelwies . alikuwa director wa Viena general Hospital Austrial, Mwaka 1847 aligundua hadi asilimia 3o Ya wanawake waliokuwa wanajifungua walikufa. Hii asilimia ilikuwa sio huko tu bali hata ireland, UK ,US etc. Alizama kutafuta sababu na kugundua Madaktari waliokuwa wanawahudumia wajawazito. Wakitoka kumuandaa mama aliyekufa walinawa na damu kwenye maji hayohayo na wengine hawakunawa kwa sababu waliona haina sababu.Dunia ya sasa hakuna Daktari atakayetoka kwa maiti na kwenda kumuhudumia mgonjwa aliyehai bila kunawa au hata kubadili mavazi. Hii ilikuwa ni matokeo ya utafiti wa huyu Ndugu lakini Mungu alishawaelekeza jamaa zamani sana.
Hii ndio kali kuliko zote , haina kuungaunga matukio ili upate ushahidi. Duuh inatisha sana hii.
 
Quran 29:46 na 47 inakufundisha kuamini vitabu vya wayahudi na wakristo. Hapo hamna mjadala zaidi wa kubishana! Unachotakiwa ni kuachana na unacho amini kwa kufwata maelekezo ya Quran kwamba maswala yote ya maana yapo kwa watu wa vitabu. Hao watu wa kitabu ni wayahudi na wakristo wakina Paulo, Petro, Yohana na Mathayo. Na maneno hayo ya Quran 29:46 na 47 siyo ya Muhammad, Bali ni ya Allah subhana wa taahla kutoka straight from heaven!!
Ndugu hizo aya umezisoma kinyume. Au unataka kujidanganya tu?

Link Surah Al-'Ankabut [29:46-52]






Link FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana
 
Back
Top Bottom