Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.

Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
 
😅😅😅Mkuu hicho anachosema hajakielewa..
Mwambie aendelee Ila kama ana akili ataelewa kilichoandikwa ila hakihusiani kabisa na Maswala ya Control Ya bank..walafedha...

Ufunuo 13:18

Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
 
Haitawezekana kununua wala kuuza bila kuwa na card/chip baada ya unyakuo wa kanisa.

Wakati biblia inaandika hili jambo watu walikuwa wanafanya barter trade.
 
😅😅😅Mkuu hicho anachosema hajakielewa..
Mwambie aendelee Ila kama ana akili ataelewa kilichoandikwa ila hakihusiani kabisa na Maswala ya Control Ya bank..walafedha...

Ufunuo 13:18

Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Mnyama ni mtu asiye na neno la Mungu lililofunuliwa
 
Acha Mimi niendelee kusoma comments tu maana kwa kutumia mistari hii hii kuna mazombi wanapigwa Pesa zao daily na matapeli fulani wanaojitajirisha wao wenyewe huku wakiwaacha mazombi hao wanaendelea kua makapuku wa kutupwa,
 
Pesa ilikuwepo kwa elites wa kipindi hicho hasa waliokuwa ndani ya roman empire ila majority ya watu duniani walikuwa wanafanya barter trade.
Mkuu Roman empire ilikuwa haijafika wapi katika utawala?
Hebu nieleweshe

Screenshot_20231216_092225_Chrome.jpg
 
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.

Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
yalaaa umetoa boko mkuu
 
Alam na kadi vina connection gani ya moja kwa moja?
Wewe kwa mfano kabla ya kuja kwa kadi ungesoma huo mstari ungeuconnect moja kwa moja na kadi?
 
Acha Mimi niendelee kusoma comments tu maana kwa kutumia mistari hii hii kuna mazombi wanapigwa Pesa zao daily na matapeli fulani wanaojitajirisha wao wenyewe huku wakiwaacha mazombi hao wanaendelea kua makapuku wa kutupwa,
Watu wanapigwa hela kwenye betting na kwenye mabaa. Kanisani wanamtolea Mungu kwa imani, hawapigwi.
 
Unamaanisha hizi hizi ATM cards (Simba Card, Tembo Card). Hebu kuwa serious kidogo mkuu.
Simply, mifumo yote ya malipo ikiwa integrated haitawezekana kununua bila kuwa na kadi/chip. Sasa biblia imeongelea hili zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
 
Alam na kadi vina connection gani ya moja kwa moja?
Wewe kwa mfano kabla ya kuja kwa kadi ungesoma huo mstari ungeuconnect moja kwa moja na kadi?
Ndio maana mstari unaheshimika sana maana ulizungumzia mfumo wa malipo wa dunia nzima unaoweza kuwa controlled kipindi ambacho watu walikuwa wanafanya barter trade.
 
Back
Top Bottom