EXCLUSIVE INTERVIEW! Mada: Tofauti za kiimani kwenye Mahusiano na changamoto zake..

Naona haujaelewa mada isome vizuri nadhani utaelewa tulikuwa tunaongelea nini
nimeelewa,uliulizwa kuhusu "wanaokuzunguka" na ukasema "mnazungumzia" mahusiano na sio "wanaowazunguka".ndo maana nikasema vile...hata hivyo napita.......
 
Niliwafuatilia kwa karibu.

Mahusiano ya kimapenzi huwezi kuyaweka mbali na jamii inayowazunguka ili yadumu.

Tofauti ya hilo ni kujidanganya, au!
Kama ulinifatilia vizuri kuna mahali nimeongelea kuhusu familia lazima pia uipe stahiki yake wakati unafanya decision zako
 
Karibu sana
hii interview ni nzuri,ila itabidi ipewe jina fupi na linaloeleweka kama "Love Talk Show"..na pia kuwe na viongozi wa maswali ambao mtu akitaka kuuliza itabidi atumePM kwa baadhi ya viongozi,halafu ndo aje kuuliza hapa tena kwa ufupi na anaye jibu ajibu kwa ufupi......itendelea
 
Kama ulinifatilia vizuri kuna mahali nimeongelea kuhusu familia lazima pia uipe stahiki yake wakati unafanya decision zako
"Specifically" nalenga kwenye jibu lako kwamba uzito wa maamuzi yako ya mapenzi ni imani yako, wakati wanaowauzunguka (wewe na mwenzi kila mmoja kwa nafsi yake) wana imani tofauti, mtihani huo unaushindaje, kudumisha mahusuano kwenye milima na mabonde ya majaribu!!!
 
Izi interview huwa nakutana nazo kama mximu hapa
Ni vizur ratiba ikawekwa waz (I.e day & time) ili niwe mfatiliaji mzuri
Ni wazo zuri kwako Kiwatengu kwa msisimko huu unaotupatia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom