EXCLUSIVE INTERVIEW! Mada: Tofauti za kiimani kwenye Mahusiano na changamoto zake..

Matatizo yanaanza pale mapenzi yanapopungua na wapenzi kutumia kisingizio cha Imani tofauti kufanya yale wanayotaka. Mlikutana chuoni, mlikubaliana kabisa kuwa wote si watu wa dini ki vile, basi ndoa ifungwe serikalini na watoto wataamaua wenyewe Imani ya kufuata. Sasa baba ameona kidosho amekizimikia na ni wa Imani yake, anajua kabisa kubadili dini huwezi anakuja na pressure kuwa ameamua kumrudia Mola wake.
 
Wewe mwanamke una akili sana.
Shkamoo Sky Eclat
Ulichokiongea kimemtokea jirani yangu...daaah nisiseme sana ila yule mwanamke ni mbumbumbu wa mapenzi sijapata ona.
 
Matatizo yanaanza pale mapenzi yanapopungua na wapenzi kutumia kisingizio cha Imani tofauti kufanya yale wanayotaka. Mlikutana chuoni, mlikubaliana kabisa kuwa wote si watu wa dini ki vile, basi ndoa ifungwe serikalini na watoto wataamaua wenyewe Imani ya kufuata. Sasa baba ameona kidosho amekizimikia na ni wa Imani yake, anajua kabisa kubadili dini huwezi anakuja na pressure kuwa ameamua kumrudia Mola wake.
Mapenzi yakishapungua itatafutwa kila sababu ili tu muachane ila kama mnapendana na msimamo thabiti inaweza kuzuilika na mkaishi kwa amani kabisa
 
Kwa mara ya kwaza nimesoma comment zoote za hili za Thread.

sijawahi kumaliza kusoma page mbili.

ok nimewasoma vizuri.

Honey naona umejitahidi sana kujibu japo ulikuwa hupigwi maswali mazito kabisa
 
Hebu tuambie ilikuwaje?
Acha tu Honey...
Mwanamke yule (mkristo bwana muislam) kazalishwa...
Mwanzo waliishi pamoja ila baadae mwanamke aliondoka kujifungua.
Malengo yalikuwa kuoana ila bibie akawa mgumu kubadili kuwa muislam kama jamaa alivyotaka.
Kiukweli jamaa anaonekana hana mapenzi kabisa kwani baada ya bibie kuondoka alianza kutoka na wanawake bila kificho.
Nyumba waliyokuwa wakikaa ni mwanamke alipanga alipoondoka akamuachia basi daily kuingiza wanawake.
Guess what?Akaoa kabisa na huyo mwanamke hivi sasa mimba!

Ajabu alikuja kumtembelea mwanae mwezi uliopita bibie alifurahije?
Full kujikoki!
Uwiiiiiii ningekuwa mimi ningemkimbiza balaa
Na rumours are amekubali kubadili dini aolewe!
 
Kwa mara ya kwaza nimesoma comment zoote za hili za Thread.

sijawahi kumaliza kusoma page mbili.

ok nimewasoma vizuri.

Honey naona umejitahidi sana kujibu japo ulikuwa hupigwi maswali mazito kabisa
Hahahahah kwa hiyo nina kismat eeeh.
Niulize hayo magumu nijitahidi kukujibu
 
Acha tu Honey...
Mwanamke yule (mkristo bwana muislam) kazalishwa...
Mwanzo waliishi pamoja ila baadae mwanamke aliondoka kujifungua.
Malengo yalikuwa kuoana ila bibie akawa mgumu kubadili kuwa muislam kama jamaa alivyotaka.
Kiukweli jamaa anaonekana hana mapenzi kabisa kwani baada ya bibie kuondoka alianza kutoka na wanawake bila kificho.
Nyumba waliyokuwa wakikaa ni mwanamke alipanga alipoondoka akamuachia basi daily kuingiza wanawake.
Guess what?Akaoa kabisa na huyo mwanamke hivi sasa mimba!

Ajabu alikuja kumtembelea mwanae mwezi uliopita bibie alifurahije?
Full kujikoki!
Uwiiiiiii ningekuwa mimi ningemkimbiza balaa
Na rumours are amekubali kubadili dini aolewe!
Kuna watu wana mioyo jamani.Nimejiweka kwenye hiyo position ya huyo mwanamke lakini sidhani kama ningeweza
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom