EXCLUSIVE INTERVIEW! Mada: Tofauti za kiimani kwenye Mahusiano na changamoto zake..

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,646
14,792
Hi! Everyone,

Ninaamini mmekuwa na siku njema kabisa.
Siku nyingine tena nawakaribisha kwenye interview ya nguvu, huwa tunajadili mambo ya kijamii na yalioyopo sana..

Nadhani mada inasomeka vizuri hapo juu!
Leo nipo na Honey Faith...

Wadau wengine u can watch this na kama mtakuwa na maswali ambayo sitayauliza nitawakaribisha!

Welcome..
 
Relationship with different religion is tough ndugu yangu na kama ujuavyo imani ya mtu ni kitu sensitive sana hivyo yakupasa kujua mapema mtaakabilianaje na hilo swala
Kwa wewe imani na upendo ni kipi kinanguvu,?
Unadhani imani yako inaweza ikaushinda upendo wako kwa mpenzi wako?
Relationship with different religion is tough ndugu yangu na kama ujuavyo imani ya mtu ni kitu sensitive sana hivyo yakupasa kujua mapema mtaakabilianaje na hilo swala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom