EXCLUSIVE INTERVIEW! Mada: Tofauti za kiimani kwenye Mahusiano na changamoto zake..

Sijawahi jirani.
Hivi unajua kama Nifah ana aibu sana?
Niliwahi kupata mualiko kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu nikaumauma maneno.
Hapana jirani.... Nyuma ya keyboards watu wanaandika tuu Yale yenye aibu unayaweka kapuni
 
Ushauri na huyo host inabidi ajipange kuhoji hao watu. Sio anahoji vitu vyepesi vyepesi.
Kabisa,inabidi ajipange kwelikweli.
Sio interview ya maswali ya kawaida.
Na interview iwe ya masaa walau manne...
Tunataka kitu kipya kwakweli.
Na ktk wanaume hao pia nawe ningependa kusikia kutoka kwako...like,mapenzi yana nafasi gani ktk maisha yako n.k
 
Sasa hivi tunataka mwanaume kwenye interview bhanaaa....like Le Mutuz,UncleBen.FisadiKuu n.k

Wapumzishe wadada.
Na ziwe "inteviews" za masuala ya kuamsha mijadala na siyo za udaku na kijiweni. Hayo yabaki kwenye majukwaa husika na siyo JF.

Naomba "Mods" walinde heshima ya JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom