Ex wangu Kamuacha mume wake Anataka tuludiane

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
4,232
5,484
Nilikuwa na mpenz wangu Nikazaanae mtoto mmoja Tukashindwa kufunga ndoa Kikwanzo din tofauti , Akatoke mume Mwislam mwenzake wakafunga ndoa wakaish Mwaka mmoja kwenye ndoa, Amemuacha mumewe Anata tuludiane na Mimi Naombe maon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabla ya kutoa mawazo yangu natanguliza samahani kwa maneno yangu yanayofuata.
.
Ulimzalisha akaolewa na mtu mwingine yule mwanaume aliemuoa kwa kukuzidi kigezo cha dink ni tahira kuliko yule wa ubungo mwenye donda, aliowa galasa likamshinda HUYO MWANAMKE ASIKUDANGANYE YEYE NDIE KAMUACHA HUYO KAACHWA.
.
Na inapoelekea ule ujinga wa mwanzo wa yule jamaa unahamia kwako kashamtumia vya kutosha (effectively) anakuachia na wewe, pengine ni mimi tu mwenye udhaifu huu mkuu (MWANAMKE AKITUMIWA NA MWANAUME NINAEMFAHAMU SIWEZI MTAKA ABADANI)
yani awe anatumika nashuhudia kwamba yule ni mwanamke wa mwafulani.
 
Nilikuwa na mpenz wangu Nikazaanae mtoto mmoja Tukashindwa kufunga ndoa Kikwanzo din tofauti , Akatoke mume Mwislam mwenzake wakafunga ndoa wakaish Mwaka mmoja kwenye ndoa, Amemuacha mumewe Anata tuludiane na Mimi Naombe maon

Sent using Jamii Forums mobile app
Take her back. Amejifunza Jambo from experience
 
Yaaan jamaa tumia sana akili achana na hisia huyo mwanamke ni kimeo kwako ,hakupendi na ndo maana hukumuoa ww kwasasa kaachwa ana jisongeza kwako ww ndo ule makombo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom