EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

mmh! linapofika suala la TG sikuwezi maana inawezekana ina uzito kwenye mapenzi tena siku hizi ila siyo lazima ufanye!
Well, amwachie mwenzie afaidi na wife tu! kwanini waliachana?labda sababu hiyo yako uliyotaja..

Hiyo siku hizi ni kigezo cha upendo na kipimo cha penzi kwa mwenzako....kama vile kuzama chumvini ukiona na wewe mtu wako hazani uvinza ujue hakupendi kabisa....uvinza muhimu sasa dada.
 
Hiyo siku hizi ni kigezo cha upendo na kipimo cha penzi kwa mwenzako....kama vile kuzama chumvini ukiona na wewe mtu wako hazani uvinza ujue hakupendi kabisa....uvinza muhimu sasa dada.

Umenishtua sasa,hiyo ni sehemu tu ya sebene lakini ni lazima kwakweli. Mwanaume hata umpe nini kama hajaridhika ni kazi bure. Mi naona bora ujitahidi tu kuwa muwazi utakavyo halafu uone kama utapewa..Tatizo ni kwamba kuna wengine wametoka na mpenzi fulani walizoea TG kuja kutoka na mwingine hamna kufanya hivyo,happ mtu anaona amekosa kitu..
 
Inabidi dada umsome huyo mtu ni wa aina gani wakujirusha wa kupenda sana TG au uvinza mi nimerudi nipo tungi yeye anapekua kakimeo kangu dah aiseeee.....ndo yale yale mtu aliye kubikira huwezi oana naye hata siku moja.
 
kwani uki onana nae itakuwaje?
 
hii mada inanishtua sana. Mnajua kwanini nimepata mchumba wa KINYAMWEZI sasa sijui na yeye atakuja kutakiwa na Ex-bf wake? haya mambo yananichanganya sana mimi hadi wengine tutaacha kuoa kama ishu zenyewe ndio za kutakana tena baadae.
 
Mkuu unajua kuna formula ya mapenzi inasema "mahawala hawaachani" fanya utafiti wewe mwenyewe kiburudisho chako cha long kitafute kisha omba kukanzamiza hata kama kimeolewa uone kama kitakuchomolea si ulisha maliza bana...
 
wana jf nisaidieni

Ametambuwa kuwa alifanya big mistake kukuwacha kwa mataa na anakuomba. Iwapo nyie ni waislamu basi afanye ndoa ya pili iwapo bado nawe wampenda na wamtaka awe mwenzako. Otherwise yaliopita yamepita achana naye.
 
Dada yangu shika njia yako la sivyo utaibua matatizo. Kaoa? huyo ndio basi hawezi kuishi kwenye ndoa hata akikuchukua wewe, ukimkifu atamwendea mwingine. Tafuta mwingine ndugu huruma isije kukuponza
 
Mi naona bora ale kona amwachie na mwenzie naye afaudu matnda labda yeye alikuwa mgumu kutoa tiGo ndo maana jamaa akaamua kuchukua mzigo mwingine.
wala hakuwahi kuomba tigo jamani! Loh!
 
unajua kuna msemo unaosema mahawala hawaachani, lakini kama alikuwa BF wako kwanini asingekuoa, hapo ndipo inapokuja shida na alianzaje na wewe kakuona hufai kuwa mke na wewe unamchekea. ndio maana sometimes wasichana mnajidhalilisha, yeye kamwaga mboga wewe mwaga ugali.
 
pretty nafikiri wewe ndo mwenye kuamua ila kwa ushauri to nakuomba umwambie awe na mkewe na afanye bidii kuitunza familia asikupotezee muda angekupenda angekuoa wewe
 
pretty nafikiri wewe ndo mwenye kuamua ila kwa ushauri to nakuomba umwambie awe na mkewe na afanye bidii kuitunza familia asikupotezee muda angekupenda angekuoa wewe

hili ndio swala la msingi, Pretty anaonekana anampenda sana EX-BF lakini hataki kusema kwa nini waliachana, na sasa hivi ansema jamaa anataka kumrudia. Pretty mimi nadhani humu ndani ya JF utapata mawazomengi sana lakini mwenye final decision ni wewe mwenyewe Pretty!!
 
Loh ya nini tena? kama Jamaa anakuhitaji na wewe bado una m-feel we jiongeze tu!

..ha ha... yaani Pretty aendelee kuwa doormat wakati jamaa ndani ana chuma kipya?

Pretty, kung'ang'ania mlango ulishafungwa kunakupotezea wazo la kuangalia dirisha lilofunguliwa mbele yako.
 
Back
Top Bottom