Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

Hapo ni utata, ukimuacha msala udugu unakufa, atakuletea visa saana.
Hifadhi uthibitisho woote kisha vunga ili siku ikitokea la kutokea uwe na cha kujitetea.

Mpaka hapo ujue urafiki wenu ushakuwa rehani.. Ukimgonga shida labda umgonge halafu uoneshe kiwango kibovu, ila ukimkaza kisawa sawa, tatizo.. Na ukimkataa ni tatizo pia
 
Km jamaa Yako n rafiki Yako kitambo na unaujua umuhimu wa rfk Yako ktk maishà Yako bac huyo mwanamke n shetan aliyekuja kuwatenganisha na kuwavuruga kbs mtoke Kwenye mstari mliopo..

Chakufanyaa block Kila mahali unapowasiliana naye na hakikishaa usiruhusu mkutane Kwa namna yyt Ile na km mnakaa sehemu Moja jaribu kuhama Kwa ajili ya kulindaa afya ya urafiki wenu mlioshibana na kusaidiana Kwa Kila ktu..

Usimwambie mwana chcht kilé vunga kiumee.

Ni hayo tu kutoka kwangu Mzee wa kataa NDOA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom