EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

Mpaka sasa huyu kijana hakupendi hata kidogo. Anakuitaji kutimiza tamaa zake tu. Usikubali kamwe kupotezewa muda wako na mwisho utazeeka bila ndoa. Ameshayatafuta maisha yake, yupo na familia yake achana nae. Muombe Mungu akupe mzuri kuliko yeye ili nawe uwe na familia yako. Bora kupoteza pesa utatafuta tena kuliko kupoteza muda haurudi tena.
 
Mpe bwana anachokihitaji...!!!! Wewe si umekikuta tu lakini...!!!! Cha nini hicho sasa...!!! Toa ulichonacho naye akupatie alichonacho....!!!!
 
Mpe tu akuchezee maana unaonekana unataka kumpa upo dilema umpe au usimpe nenda azidi kukuchakaza za mwizi zimeongezeka zimefika buku sahivi nenda tu
 
hii thread yenyewe inaonesha interest nawe unayo. mbali na hapo ungeona hili kama ndoto za alinacha ila kwa sasa naona umempa option ya kukumkubalia
 
ninacho kiona bado anajinamizi la maufundi,mautamu na marojorojo aliyokuwa akipewa na huyo mjamaa,that's way anaendelea kuyatamani hatakama anajua mchizi ana wife in the house hapa anazuga tu,anaendelea kupigwa show tu,na kwa kuwa since jamaa ameoa mpaka sasa si kweli kama hakutoa pande kwa mijamaa mingine shida kakosa yale maladha aliyo kuwa anayapa kwa Mr wa mtu,kwakuwa hakuna namna nyingine,mimi nasema utaliwa tu,nauliwe tu:welcome::rockon:
 
Sawa,sasa hapo tunakusaidia nini? Pia rekebisha head hapo sema mume wa mtu anakutaka sio x b,pia acha ujinga unatia watu hasira ndio mana hamuishi vilio vya kudanganywa na kutelekezwa!,

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom