Evelyn salt Vs Heaven on Earth, miss chagga Vs miss neddy

Kutoka kushoto ni @miss neddy, @miss chagga, @heaven on earth, @evelyn salt

Natumai nimetii kiu yako...

2.jpg

Mmmh wametoklezea
 
nawakubali wote cozz wanapitaga sana pande zNgu.za threads na pande nying nawakutaga nahs wanafanya kaz jf
 
Mimi siwakubali wote maaana inaonekana wanashinda na kukesha MMU
 
Hakuna kitu hao ni ving`amuzi bila vochla huwatazami sijafikiria kufirisika nikifikiria nitamfuata kila mmoja...maharage ya mbeya hayo... cna hisia kwa.....ving`amuzi
 
Basi kama umeweka poll miss chaga anaongoza huwa ananikosha kinoma, wengine huwa wana hasira ngoja nawaaletea
 
Hakuna kitu hao ni ving`amuzi bila vochla huwatazami sijafikiria kufirisika nikifikiria nitamfuata kila mmoja...maharage ya mbeya hayo... cna hisia kwa.....ving`amuzi

....mwanamke kuhudumiwa,hujui?

....kitunze chako kipendeze....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom