Evelyn salt Vs Heaven on Earth, miss chagga Vs miss neddy

Hahahahahahahaaaa!
Thiled mengine dha kutiana wivu! Mwee!
...
Ngoja na Mathaksidho aweke neno hapo!

Kiukweli hao wanne (wote kwa pamoja) nawakubaligi thaana!

Heaven on Earth Idh intelligent and mith indipendenth and joy! I love her thoo much! (edh ma thithta)

Evelyn Salt idh intelligent and funny and direct! I love her thoo much! (romantiki kabitha hata kama ameolewa! Lol!)

miss chagga idh intelligent and flexible and social! I love her thoo much (edh friend)

miss neddy idh intelligent and brave and placid! I love her thoo much! (edh my shem) Hahahahahaaa!
...
Evelyn Salt sorry kwa huo uandishi nakumbuka ulinikataza! (calm down natumia leo tu!)

okey jambo umemaliza kibarua
 
wote wakali ila bado naumiza kichwa haya majina
waliwaza nn hata wakajiita hivo, majina matamu, comment tamu, na wao wenyewe nashindwa
kupata picha.

Heaven on Earth, Evelyn salt
haya majina muliwaza nn
 
Kwa mtazamo wangu hawa nathubutu kusema ni ma-super star wa MMU, tuwatathamini kwa mada au comment zao nani mkali zaidi ya mwenzake, kwa men unaruhusiwa kuvuta hisia kwa kupima comment zao nani mtamu zaidi ya mwengine.

Haya ni mawazo tu jameni musijenge chuki.

Ze Heaven on Earth yuko juu bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom