Utakua Mswati sasa
Mmmh wametoklezea
Hakuna kitu hao ni ving`amuzi bila vochla huwatazami sijafikiria kufirisika nikifikiria nitamfuata kila mmoja...maharage ya mbeya hayo... cna hisia kwa.....ving`amuzi
Mimi siwakubali wote maaana inaonekana wanashinda na kukesha MMU
Mimi siwakubali wote maaana inaonekana wanashinda na kukesha MMU
Umejuaje kama na wewe haushindi na kukesha humu?acha umbea, mtoto wa kiume wewe ohoooo ungekuwa beberu ungeshaota ndevu
Mapenzi bila hela haipogo kanyetuke tuNilikuwa nakutafta wewe tu, kwakweli moyo wangu pia unatetemeka nikiona tu avatar yako. Kama unaweza mapemzi bila hela npm namba yako
Mimi Evelyn Salt Huwa Namkubali Sana Kwa Ushauri Wake,Maneno Yake Ya Utani Na Nyuzi Zake.Over.Kwa mtazamo wangu hawa nathubutu kusema ni ma-super star wa MMU, tuwatathamini kwa mada au comment zao nani mkali zaidi ya mwenzake, kwa men unaruhusiwa kuvuta hisia kwa kupima comment zao nani mtamu zaidi ya mwengine.
Haya ni mawazo tu jameni musijenge chuki.
Mapenzi bila hela haipogo kanyetuke tu
Aiseee..
Shikamo Kaka Kaizer
Evelyn Salt, dada yangu wa hiari misschagga, dada yangu kipenzi Heaven on Earth, bila kuwasahau wapinzani wangu japo sina hakika cute b na everlenk, dada wa ex wangu(mmmh!) Heaven Sent, na Diva Beyonce, nawakubali mnooo hawa watu na michango yao humu ndani, nafurahi sana nikisoma comments zao.