eti inasemekana kuwa.......

Forty days tu??? wengine huambiwa kipindi chote mama anaponyonyesha asiguswe. Sasa fumes za vichwani kwa wanaume zinaweza kuwa sawa bila kucheat?

jamani jamani, mna hakika? wengine wananyonyesha miaka mwili/mmoja wengine kama mie mtoto alikataa ziwa alipokuwa na miezi 7 lakini hapo nilikuwa nimeshafanya sana tuu.
 
kwani ni 40 days?

hata baada ya wiki tu poa kama mwili wa mama unaruhusu :)
 
Forty days tu??? wengine huambiwa kipindi chote mama anaponyonyesha asiguswe. Sasa fumes za vichwani kwa wanaume zinaweza kuwa sawa bila kucheat?

Nani huwaambia; kama haumwi wala nini two weeks zinatosha! aah mtoa hoja kumbe ni mwalimu/mwanafunzi........ah :focus:
 
It is very true. Huwezi ukaambiwa na muathirika wa mambo hayo ila wataalam wa psychology wanajua sababu ni nini. Wamo humu watoe shule. Ile kitu nhogo wa njomba ni dawa kama ikitumiwa vizuri. Angalia masecretary mbogo ulizia kama wameolewa utaambiwa NO ila wana watoto. Sasa fimbo ya mbali haiui nyoka na tena nguo ya kuazima haisetiri makalio. Asipokuwa na uhakika wa kupata wakati wowote ile kitu lazima atakuwa mbogo, self denial kwa kuwa haoleki ila kichapo cha nadra tu. Wanabadilika na hata utendaji wao wa kazi huwa bingo zaidi kama anao uhakika kupata kila atakapo. Ndio maana maofisini mabosi wanalazimika kuingilia kati kutoa huduma ili ofisi pakalike. Ukiona wanazodoana na secretary wake ujue hawapati nafasi ya kutengeneza jambo hilo.
 
:a s 41::a s 41::a s 41::a s 41::a s 41:
nikijua roy kanisoma...sasa ipo hivi kama kwangu ukali ni wangu tu haihusiani na tendo la ndoa mana huko cna complain kabisa, nalishwa nashiba tele...umenipata?...nilikumis pia.
 
Kuna kale kamsemo ka kubemenda......labda kanahitaji thredi yake..

Kubemenda kama weye siye baba wa huyo mtoto; ama unachapa kavu huko nje haafu unarudi kavu ndani na pia ni kumbebesha mimba angali akinyonyesha! :focus:
 
ni kwa mwanamke tu? mie nadhani mke/mume akinza kutoka nje nddio bac tena.
Umeshamsahau Teamo mara hii. For him na group lake "for men Infidelity is there to stay but for women its a big NO" Kwa kifupi mwanamke hatarajiwi kutoka nje ya ndoa.
 
bahati yenu nzuri, ukimaanisha sisi tunatoka na roho zetu kabisa, hamuoni kama nyie ndio mnasabanisha yote haya, kuna wale wanatumia formula ya if u do me i do u, sasa ukimduu na yeye anakuduu,sasa hamuoni mnajiletea matatizo wenyewe?
Kina nani hao???????????????
 
Umeshamsahau Teamo mara hii. For him na group lake "for men Infidelity is there to stay but for women its a big NO" Kwa kifupi mwanamke hatarajiwi kutoka nje ya ndoa.
YOU CAN SAY THAT AGAIN AND AGAIN AND AGAIN!
the story goes back to ABRAHAM,ISAAC,JACOB,KING DAVID,KING SOLOMON!....et al!
 
Back
Top Bottom