Nashindwa kutongoza. Naona aibu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi?

Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha kumuumiza bega, halafu unaanza kumpanga, "Samahani dada angu kwa usumbufu. Nimetokea kukupenda sana. Kweli tena, wewe ni mzuri kama malaika, nilipokuona moyo wangu umekwenda mbio kama shabiki wa Simba"

Huo ni uongo. Shida sio namna unavyodanganya, shida ni anayekusikiliza anakuchukuliaje? Bora hivi vibinti vya kizazi cha doti komu. Enzi zetu kutongoza ilikuwa kazi, just imagine unakumbana na swali, "Unanipendaje wakati ni mara ya kwanza tunaonana?". Tusiwachukulie wanawake kama mazwazwa, mapenzi ya kukurupuka ndio hayo ambayo mwisho wa siku unacharazwa kibunda, unabaki unalia lia humu

Hiyo kesi hapo juu, ningeisolve kwa kumwambia, "Sawa nimekuumiza bega, lakini ingelipendeza sana kama ningepata wasaa wa kukuumiza tena na fimbo yangu ya nyama".

Mara mia nitongoze mwanamke ambaye tumezoeana kuoanana hata kama huwa hatuna mazungumzo, hata salamu, kuliko kukutana na mtu from nowhere for the first time nikaanza kumdanganya. Huwa najihisi ananichukulia zwazwa. Unaeza kuta unaseviwa "Msumbufu no.14" au "Maiti Morogoro" kama mlikutana msibani

Samahanini kama nitakuwa nimeandika tofauti na ninavyowaza, maake nimelewa sana. Ninachowaza ni sahihi, ila namna ya kuwasilisha ujumbe
 
Hahahahaaaaa
 
🤣🤣🤣🤣
Oyaaa we mwenzenu mimi
Sijui kutongoza
Wakijipitisha
Na mwaga hela
Ahsante 🤣🤣🤣
(Ni sauti ya jux na G nako zilisikika kunako night club za hapo mjini)
 
Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi?

Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha kumuumiza bega, halafu unaanza kumpanga, "Samahani dada angu kwa usumbufu. Nimetokea kukupenda sana. Kweli tena, wewe ni mzuri kama malaika, nilipokuona moyo wangu umekwenda mbio kama shabiki wa Simba"

Huo ni uongo. Shida sio namna unavyodanganya, shida ni anayekusikiliza anakuchukuliaje? Bora hivi vibinti vya kizazi cha doti komu. Enzi zetu kutongoza ilikuwa kazi, just imagine unakumbana na swali, "Unanipendaje wakati ni mara ya kwanza tunaonana?". Tusiwachukulie wanawake kama mazwazwa, mapenzi ya kukurupuka ndio hayo ambayo mwisho wa siku unacharazwa kibunda, unabaki unalia lia humu

Hiyo kesi hapo juu, ningeisolve kwa kumwambia, "Sawa nimekuumiza bega, lakini ingelipendeza sana kama ningepata wasaa wa kukuumiza tena na fimbo yangu ya nyama".

Mara mia nitongoze mwanamke ambaye tumezoeana kuoanana hata kama huwa hatuna mazungumzo, hata salamu, kuliko kukutana na mtu from nowhere for the first time nikaanza kumdanganya. Huwa najihisi ananichukulia zwazwa. Unaeza kuta unaseviwa "Msumbufu no.14" au "Maiti Morogoro" kama mlikutana msibani

Samahanini kama nitakuwa nimeandika tofauti na ninavyowaza, maake nimelewa sana. Ninachowaza ni sahihi, ila namna ya kuwasilisha ujumbe
Msome huyu daktari anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Binafsi kimenifunza mengi kuhusu akili ya mwanamke na matunda tayari nayaona. Kitafute ukisome ndugu utarudi hapa kunishukuru
Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke Yeyote Ukampata - Dkt. Dyaboli.png
 
Back
Top Bottom