eti inasemekana kuwa.......

Inawezekana huchoki kwa sababu anamega nje.
THIS IS VERY OBVIOUS DUDE!............

bottom line ni kwamba wanaume WANAOONYESHA MAPENZI ''KI-MUONEKANO ZAIDI '' kwa wake zao ndo wanaongoza kwa INFIDELITY!
 
Mh mie sina cha kuchangia hapa kwani kwangu hii haiapply: Kuna wakati nimekaa kwa muda mrefu tu bila ku'fikishwa' plus mafrustrations kibao tu kwenye hiki nyanja but I think it was the very time I was soo calm- sasa sijui inategemea na reaction ya mtu na mtu au!

nyamayao unanifurahisha na comments zako
 
Hiyo ya ukali wa mtu na kichapo, ndio naipata leo.
..Ah! hawa nao hawaeleweki bana. wasipopewa mambo sawasawa tatizo wakipewa sawasawa tatizo pia. Kuna mmoja aliwahi kupeleka mashitaka kwa mshenga kuwa jamaa wakiwa honey moon tu ni kutwa X 3 kwa siku zote 5 walizokaa huko tena ni rigwaride la kiwango mama akaona eh! sasa sijui lipi linawafaa....mi chichemi:tape::tape::tape:
 
Mh mie sina cha kuchangia hapa kwani kwangu hii haiapply: Kuna wakati nimekaa kwa muda mrefu tu bila ku'fikishwa' plus mafrustrations kibao tu kwenye hiki nyanja but I think it was the very time I was soo calm- sasa sijui inategemea na reaction ya mtu na mtu au!

nyamayao unanifurahisha na comments zako
HUKUTEMPA ''kuchepuka'' hata siku moja?:typing::typing:
 
msaada tafadhali................kubemenda ndo kufanya nini?
 
unajua ile kitu ni chakula ya roho na unapoikosa lazima upate psychological problem (msongo wa mawazo) nitarudi baadae kuendelea ngoja nijenge taifa kidogo
 
aa jamani nyie .......................mnakuja na aidia za ki loooongi mpaka maana tunashindwa kuelewa!

hivi kweli katika umri huu mtu anapata mimba kama hataki?
 
Alianza hivi...

:ranger::ranger::ranger:

Then...

:brushteeth::brushteeth::brushteeth:

Akaendelea...

:nono::nono::nono:

Noticed...

ahaaa, sawa! leo umeamua kuwa bubu?

Akagoma...

:tape::tape::tape:

Akawa Mkali...

:boxing::boxing::boxing:

Mara...

iko biyeeeeeeeeee!

Huyu naye akamuunga mdomo...

:tape::shut-mouth:

akachukia zaidi...

:fencing::fencing::fencing:

Kisha akavunja UKIMYA...

kitaalamu hii tunaita POINT OF NO RETURN!
mwanamke akianza kutoka nje ndo basi tena!...atawapa mahawara hadi TIGO!

Maskini.... pouring out his heart...

wanaume kutoka nje NI PART OF OUR DAILY ROUTINE!nachelea kusema ni sehemu ya maisha yetu!tunatoka nje na tunaziheshimu na kuzijali ndoa....

MWANAMKE AKIANZA KU-CHEAT(hapa tunazungumzia ndoa sasa)........HA HA HA HA!bora hata atumie drugs utampeleka REHAB,lakini akianza ku-cheat anawehuka maanake huko anatoa kila kitu,na anakabiliana na kila mikikimikiki...!wanaotoka na wake za watu wanajua wanachowafanyia

Akatetea hoja...

mmh! sidhani kama ni kitu kinachowezekana! kuna wakati mwanaume ni lazima acheat ili asimchoshe mkewe....! think of it......!

Akakiri...

mi ndo najua ukweli bwana!...

May your Infidelity Rest In Peace...:rip:....:amen:
 
Mh mie sina cha kuchangia hapa kwani kwangu hii haiapply: Kuna wakati nimekaa kwa muda mrefu tu bila ku'fikishwa' plus mafrustrations kibao tu kwenye hiki nyanja but I think it was the very time I was soo calm- sasa sijui inategemea na reaction ya mtu na mtu au!

nyamayao unanifurahisha na comments zako

umenisaidia hapo mana naona nilikuwa sieleweki...nimekumiss sana dearest.
 
aa jamani nyie .......................mnakuja na aidia za ki loooongi mpaka maana tunashindwa kuelewa!

hivi kweli katika umri huu mtu anapata mimba kama hataki?

Gaijin...kubemenda ni kitendo cha kufanya mapenzi ukiwa mzazi bila kufata usafi, nikimaanisha labda baba kachepuka nje kaja hajajiweka msafi mkafanya mapenzi, hata mume/mke wanatakiwa baada ya tendo wajiweke wasafi kuzuia mtoto kunyonya maziwa machafu/mabaya...kunamfanya mtoto awe na hali tofauti eg atachelewa kutambaa/cmama, kuumwa umwa nk.
 
nyamayao asante kwa maelezo ya ziada .........................lkn hichi kitu kimekuwa proven scientifically?

sioni kufanya mapenzi kisha usioge labda ukahakikisha tu ziwa lako safi .................it got anything to do na maziwa yanayotengenezwa ndani ya mwili. ........

wataalamu hebu tufahamisheni utengenezaji wa maziwa na usafi wa wafanyao mapenzi vina uhusiano gani?
 
napiga kura ya NDIO kwa hii sredi. hii habari ina ukweli flani, kuna siku nilimuuliza hali boss wangu wa kike "hali yako boss?" akajibu "kamuulize babaako" niliuchuna ili kuepusha mtafaruku kwenye salari slip, baadae nikamuuliza rafiki wa boss akanijubu kwamba mume wa boss alisafiri kama wiki mbili zilopita, huenda hii ndio ilikuwa sababu.:couch2:
 
Gaijin...kubemenda ni kitendo cha kufanya mapenzi ukiwa mzazi bila kufata usafi, nikimaanisha labda baba kachepuka nje kaja hajajiweka msafi mkafanya mapenzi, hata mume/mke wanatakiwa baada ya tendo wajiweke wasafi kuzuia mtoto kunyonya maziwa machafu/mabaya...kunamfanya mtoto awe na hali tofauti eg atachelewa kutambaa/cmama, kuumwa umwa nk.

mh i think hii hebu ipewe nafasi kuwa yenyewe.swali??? jee hii ni kwa kabila fulani tuu au??? manake kwetu haipo.

back kwa to topic, hii ni kweli asilimia 120. kama leo mi nna hasira kinoma,oooh maimai usipime......... kitaalamu wanasema mwanamke akipata orgasim basi anakua so happy.the hapiest one.na wanaridhika sana. akikosa hata watoto watatizamwa vibaya,ingawa kosa si lao.sasa mbaya zaidi ni pale ukute mtu muzima hapendi discussion kuhusu majamboz basi mamiiito atabaki anaumia tu.
 
Back
Top Bottom