CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Labda waseme CHADEMA ni chama cha kaskazini ya MSUMBIJI,ZAMBIA na MALAWI ndio watakuwa sahihi
naona watoto badala ya kwenda shule wanaingiziwa pumba kichwani
Jamani haya mswali mbona kila siku yana jirudia??Mbona CCM ilianzia Tabora mbona hilo hamsemi??the long we go itafika kusini na mashariki,na magharibi!!Ila ushauri wangu Mods wawe wanawekea button kama thread imejirudia watu wapress button ikifikia zaidi ya watu 20 ifutike automatically!
Hizi picha ni za mwaka 2010 acheni kudanganyaJamani haya mswali mbona kila siku yana jirudia??Mbona CCM ilianzia Tabora mbona hilo hamsemi??the long we go itafika kusini na mashariki,na magharibi!!Ila ushauri wangu Mods wawe wanawekea button kama thread imejirudia watu wapress button ikifikia zaidi ya watu 20 ifutike automatically!
kamandamakini na Mwakalinga,
Kuna mdau mmoja wa JF alisema kwamba 'Ukiona umemshika Kibaka Shingo alafu unaskia analialia mara Oooh mbona hunishiki na kiuno basi ujue loba imekubali, endelea kumshikilia. Lakini ukimshika mkono ukaona yupo kimya basi ujue umeliwa. Any time anaweza akakuponyoka. Sasa wenzetu hawa Magamba tumewashika Shingo wanaanza kulialia Ooh mbona hamuendi Zanzibar? Wajinga kabisa.
TUMBIRI wa JF,
P.O BOX PM JF.
Wewe pumba na magamba uliyoingiziwa kwenye masaburi mbona hatusemi?naona watoto badala ya kwenda shule wanaingiziwa pumba kichwani
Labda waseme CHADEMA ni chama cha kaskazini ya MSUMBIJI,ZAMBIA na MALAWI ndio watakuwa sahihi
dah, afadhali wanyalu wamezinduka sasa