Eti CHADEMA iko kaskazini tu? Ona mambo!

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
[h=3]MSIGWA, SUGU, SILINDE WA WASHAMOTO NYANDA ZA JUU KUSINI.[/h]







Mch. Msigwa akizungumza na wananchi wa Makambako kwenye mkutano.





Msigwa akiendesha harambee yakuchangia chama.



Boks likipitishwa kwenye umati wa watu mkutanoni kuchangia fedha za kuendeshea chama.

AWALI UFUNGUZI WA TAWI.



kabla ya mkutano wabunge hawa waliweza kufungua tawi la chama.

KATIKA MKUTANO



















umati wa wananchi wa makambako wakimsikiliza mh. msigwa.



chademaaaaaaaa? kamatamwizi meeen!
ndio msemo walio utuma sana waunge hawa wachadema katika mkutano huu nakuwaacha hoi wananchi wa maka


source:Mbunge Wako Iringa Mjini
 
naona watoto badala ya kwenda shule wanaingiziwa pumba kichwani
 
kamandamakini na Mwakalinga,
Kuna mdau mmoja wa JF alisema kwamba 'Ukiona umemshika Kibaka Shingo alafu unaskia analialia mara Oooh mbona hunishiki na kiuno basi ujue loba imekubali, endelea kumshikilia. Lakini ukimshika mkono ukaona yupo kimya basi ujue umeliwa. Any time anaweza akakuponyoka. Sasa wenzetu hawa Magamba tumewashika Shingo wanaanza kulialia Ooh mbona hamuendi Zanzibar? Wajinga kabisa.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX PM JF.
 
ITV wameionyesha vizuri sana hii habari...

Hadi raha kwa kweli............ dah noma!!
 
Kwa akili za Rejeo, Kungurumweusi na Ritz, pengine Makambako ni wilaya ya Arusha iliyoko mpakani na Kilimanjaro.....

Acha wasubiri na kungoja huku wakiamini kuwa ccm itatawala milele....Iringa ni moja ya mikoa yenye watu wengi sana...kama tukifanikiwa Iringa, ccm inabaki na Dodoma, Tabora na wapi tena....?? Maana Pwani tunagawana, Dar tunagawana, Tanga tunawaachia CUF, LINDI, MTWARA tunagawana....wapi watabaki? labda unguja......kazi kweli kweli....
 
Jamani haya mswali mbona kila siku yana jirudia??Mbona CCM ilianzia Tabora mbona hilo hamsemi??the long we go itafika kusini na mashariki,na magharibi!!Ila ushauri wangu Mods wawe wanawekea button kama thread imejirudia watu wapress button ikifikia zaidi ya watu 20 ifutike automatically!
 
Na magamba waliotimuliwa uwaziri wajue 2015 hawana chao, majimbo yote yanakwenda kwa cdm
 
kamandamakini na Mwakalinga,
Kuna mdau mmoja wa JF alisema kwamba 'Ukiona umemshika Kibaka Shingo alafu unaskia analialia mara Oooh mbona hunishiki na kiuno basi ujue loba imekubali, endelea kumshikilia. Lakini ukimshika mkono ukaona yupo kimya basi ujue umeliwa. Any time anaweza akakuponyoka. Sasa wenzetu hawa Magamba tumewashika Shingo wanaanza kulialia Ooh mbona hamuendi Zanzibar? Wajinga kabisa.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX PM JF.


Magamba walikuwa wanafikiri kuwa wao wamepewa hii nchi na Mungu wafanye watakavyo ila mambo yameshabadilika. Wanakumbuka shuka wakati kumekucha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom