Hivi yupo wapi mtu huyu? pamoja na udhaifu wake kama binadamu lakini nilikuwa naukubali sana uwezo wake wa kujenga hoja na kulisha "spirit" kueleka kwenye lengo husika.
He is somewhere in Iringa - working with Unilever I guess
Hivi yupo wapi mtu huyu? pamoja na udhaifu wake kama binadamu lakini nilikuwa naukubali sana uwezo wake wa kujenga hoja na kulisha "spirit" kueleka kwenye lengo husika.
una maana kuna mtu ataliwa nyama?zitto he's playing his part ukitaka kuchuma matunda yapandie huko huko juu ya mti na sio kukimbia !Hapana umejibu vyema mh. si niliuliza tu? then kumbe ulijuwa kabisa Slaa atashindwa. Then ku-mkampenia Slaa sehemu nyingine inaweza kuwa lilikuwa changa la macho tu!! uliwaambia wananchi wako utatekelezaji sera za chadema ili hali wao wanataka sera za CCM, unajua nalo hili ni debatable!!
Kumbuka aliyeivusha Ghana robo fainali ndiye aliyeikosesha kuingia nusu fainali na bado waghana walitaka kumla nyama, thats what it take when you are playing with people' mind and feelings
Angalia dont play with people' minds and feelings, usiwe mmoja wao
Any move or hidden agenda that any of you might be playing will certainly be known one day
Waberoya, mambo ya siasa sio suala la mke na mume. Umeuliza jimboni kwangu nani alipata kura nyingi, Jakaya did. Kwamba sikumkapenia, niambie ni kiongozi gani wa chadema alitoka nje ya jimbo lake kufanya kampeni kama sio mimi peke yangu. Nani mwingine? Nilikwenda mtwara, pwani, dar, mara, shinyanga, rukwa etc. Nani mwingine alitoka nje ya jimbo lake? Unathubutu kusema sikukampeni? Pili niambie nani aliandamana na Slaa? Kaka usimeze sumu ndugu yangu. Take a glass of water and think again. Be fair to me. Usinionee
Kwamba great leaders wote walikuwa not predictable kwenye mambo ya haki? I don't understand what great leaders you are trying to emulate. Hittler, mussolini and the likes; ndo viongozi waliokuwa hawatabiriki na sifa ya madikteta wengi walikuwa hawatabiriki until they got power.
Viongozi wote maarufu wanaoitwa great leaders, misimamo yao ilijulikana before they get into power, ilijulikana hata baada ya kuwa kwenye power, inajulikana hata baada ya kutoka kwenye power. Fidel castro hadi leo hayuko madarakani ameukataa ubeberu. Mandela aliukataa ubaguzi hadi leo.
Sioni kiongozi gani aliyekuwa unpredictable inapokuja masuala ya haki
Kwa ninavyoelewa chadema hawakatai kuwa hawajashindwa ila kura ziliibwa. Sasa wanataka wizi huo ukomeshwe ili siku wakishida wasiibiwe tena.Zitto anafahamu kwamba SLaa hakushinda urais!
Na pia anafahamau kwamba Slaa anafahamu kuwa alishindwa, sasa whats the point ya kuingia na kutoka wakati Slaa anajua kwamba kabwagwa.
wandugu hilo jibu linasema Zitto ni nani, hana siri,! ila mentoring anayoipata toka kwa warioba na SAS ni siri, tena kwenda kwake TBC kuongea aliyoyaongea ndo matunda ya mentoring toka kwa warioba na SAShapakuwa na kikao cha siri.
Mimi binafsi napenda sana uwezo wa huyu bwana mdogo. Lakini hizi sarakasi alizoanzisha kwenye Chama chake zinanitia wasiwasi. Hivi Zitto ungejibu maswali haya huenda imani zetu zingeendelea juu yako:
1. Una matatizo yeyote sasa na chama chako?
2. Ni kwa nini hukushiriki kikamilifu katika kampeni za urais kwa chama chako?
Kwa ushauri tu, utii na unyenyekevu ni tabia impendezayo kila mtu. Jinsi ulivyo mwerevu, ukiweka hapo unyenyekevu utakuwa kipenzi cha wengi, na ndio mtaji mkubwa sana wa kisiasa kwako.
Sitamani kuona unaleta mifarakano CHADEMA, ni chama tumainiwa sasa cha upinzani....bila upinzani mambo yataenda hovyo hovyo.
kikwete ni Rais. Uhalali wake sina mamlaka nao. Uchaguzi ulikuwa na matatizo lukuki. Sheria za uchaguzi, mfumo wa uchaguzi na kanuni lazima viangaliwe upya. Katiba ya nchi lazima ifumuliwe na kuandikwa upya. Haya ni madai halali ambayo upatikanaji wake haupatikani kwa kumkimbia Rais bali kumuengage. ODM waliibiwa. Walikwenda kumsikiza Kibaki bungeni pamoja na fujo zote. MDC walipigwa, wakafungwa na kunyanyaswa na ZANU PF, walikwenda bungeni na kumsikiliza Mugabe. Wakamzomea kweli. Laki hawakutoka. Kenya wana katiba mpya. Zimbabwe wanaandika yao. Ni suala la strategy tu!
ha ha ha ha ha ha!Aisee, siasa ya Tanzania ina-disappoint sana...tuna safari ndefu sana kabla ya kufika kwenye siasa ya watu makini, waadilifu na wenye misimamo ya kweli...wakati mwingine nawaza je safari hii ndefu tutaimaliza kwa kuwa na direction ileile au labda tuanze kurudi nyuma tu sasa ili tukutane na kina Nyerere, simba wa vita na wengineo
For a longtime I have been disappointed na CCM hii ya siku izi
This time when at least I found a reason to vote (because of Slaa), yanayofanywa na viongozi ndani ya chama chake, tena wale tuliodhani eti ndio great thinker, yanatia kinyaa na yanaondoa matumaini....
Kiongozi mwandamizi ndani ya chama, mnafikia maamuzi ndani ya chama wote kwa pamoja, mnapiga kura na kuamua, hata kama wewe ulikuwa hupendi, kama kiongozi unatakiwa kuonyesha mfano kwa kuwa mtiifu kwa maamuzi halali ya chama chako
Kwani Zitto nikuulize kitu kimoja, Kutoka nje ya bunge wakati raisi anahutubia kwa lengo la kuonyesha umma kuwa hamkuridhishwa na matokeo ya uchaguzi, ilikuwa na ugumu gani kwako? au ndio ulikuwa unaogopa raisi huyo kwa kuwa analindwa na katiba, na kwa kuwa umeshasema ameifanya Kigoma ijulikane (sijui wapi), angesitisha hiyo kasi, ari na nguvu yake ya kuleta maendeleo Kigoma?
Lini nyie wanasiasa mtakuwa na misimamo inayowaumiza nyie personally au majimbo yenu kwa muda mfupi lakini yenye maslahi kwa taifa?
we have always lived in a lie, and still....that will make this and the coming generation the most disadvantaged one
Poor politics, poor Tanzania
Mungu wala usitubariki, tuanche hivihivi