mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Wakuu heshima kwenu!
Kwanza nianze kwa kutoa historia fupi ya chuo hiki ambacho kipo Tanzania ila kilianzishwa na kuliendeshwa kwa ushirikiano mkubwa kati ya serikali mbili za Tanzania na Msumbiji.
Najaribu kuwaza kuwa maamuzi ya kubadili jina ni ya pande mbili hizi au upande hodhi ulikurupuka?
Je, hili linaweza kuwa na athari gani kwa wenzetu wa Msumbiji ambao wamepuuzwa?
Namkubali Dr Salim ila kwa hili ninapata shaka kama lipo Sawa kidiplomasia.
Pia soma

- Ombi kwa Rais Samia: Chuo cha Diplomasia kipewe Jina la Dr. Salim A. Salim ikipendeza
- Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim